@dr.mwajuma: Tafuta mlo wenye balance. Mfano wa combination nzuri unaweza kuwa: 🥚 Mayai/chanzo kingine cha protein 🥑 Parachichi 🥬 Mboga za majani 🥜 Karanga au mbegu 🍌 Tunda Hivi vinakupa mchanganyiko wa protein, fiber, vitamins, minerals na healthy fats unaosaidia nutrition ya mwili kwa ujumla. Swali: kati ya hivi, kipi huwa unakula mara nyingi zaidi? 🥚 Mayai 🥑 Parachichi 🥬 Mboga 🥜 Karanga/mbegu