@idanielcode8: Leo tarehe 16 September 2026 Timu ya Taifa ya mchezo wa woodball iliagwa rasmi katika ofsi za Baraza la michezo la Taifa (BMT), ikifanya safari yake kuelekea jijini Nairobi nchini Kenya kushiriki mashindano ya THE 7th KENYA INTERNATIONAL WOODBALL CHAMPIONSHIP 🏆,yatakayofanyika katika chuo kikuu Cha Mount Kenya university - THIKA, Afsa michezo mwandamizi kutoka Baraza la michezo Taifa( BMT) Ndg Charles Maguzu alipata wasaha wa kuongea na wachezaji wa timu ya Taifa na kuwakabidhi bendera ya taifa katika kuelekea kuiwakilisha nchi katika mashindano hayo ambayo timu ya Taifa ya woodball ikifuzu itapata nafasi ya kushiriki katika mashindano ya kombe la Dunia la mchezo wa woodball yatakayofanyika mwezi wa 12 ( December) nchini Taiwan 🇹🇼 Tukio hili la kitaifa lilifanyika katika ofsi za Baraza la michezo la Taifa ( BMT) jijini Dar esaalam. @Baraza la Michezo la Taifa @WOODBALL GEM🪵🎱🔥🔥 @WOODBALL UG⛳️🏌 @PRISONS TZ_VOLLEYBALL_CLUB🏐 @|Mountkenyauniversity CUThika| @JKT HANDBALL(Mbweni)🏆 @Dodoma woodball @DAR CITY BASKETBALL 🏀🇹🇿

IDANIEL 🇹🇿🇷🇼🫆
IDANIEL 🇹🇿🇷🇼🫆
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 09:03:54 GMT
716
30
6
12

Music

Download

Comments

mamy.chichagha
Mamy ChiChaGha :
woodball game ni 🔥
2026-09-24 09:37:37
3
idanielcode8
IDANIEL 🇹🇿🇷🇼🫆 :
road to Taiwan 🇹🇼🔥
2026-09-24 09:43:46
2
juliana.mwaikasu
JULIANA MWAIKASU :
mambo ni moto
2026-09-25 07:57:50
1
woodballtanzania1
TANZANIA WOODBALL ASSOCIATION :
🔥🔥🔥🔥
2026-09-24 19:46:23
2
To see more videos from user @idanielcode8, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About