@bancheche1: Tukio la uhalifu Ng’ombeni — DCI Mnamo 26 Februari 2026, Directorate of Criminal Investigations (DCI) iliripoti kukamatwa kwa vijana wawili, Bakari Idi Raisi (19) na Daudi Munye Mandu (18), katika eneo la Denyenye, Ng’ombeni. DCI ilisema walihusishwa na kundi linaloitwa Panga Boys, ambalo polisi walidai lilikuwa likihusishwa na uhalifu katika eneo la Dongo Kundu na barabara ya Likoni–Ukunda. Wawili hao walipelekwa Kwale Police Station huku uchunguzi ukiendelea.#kenyantiktok🇰🇪 #kwaletiktokers #likonitiktokers
Unalea mtoto vizur anakuja kuaribia ni uchungu kwa Kila mzazi na akuna mzazi anae penda haya mambo Allan hatulindie watoto
2026-10-27 04:01:29
7
hidacheru :
Jmn Bakari siye mnamuonea
2026-10-26 21:21:37
8
Roho yngu ❤️🫂 :
wameanza kuwatetea 😳😳
2026-10-27 03:48:20
2
MAZA :
18 yrs old and 19 jamani
2026-10-26 23:33:51
3
ummy khasani❤️💗💯 :
mungu nilindie kijana wangu asiingie kwa jili janga🤲🤲🤲🤲🤲
2026-10-26 15:27:11
15
love jaguar :
watoto wadogo sana Allah atuongozee watoto wetu na wenzetu...jambo la kusikitisha sana ...
2026-10-27 04:50:47
1
nassirabdallah775 :
hakuna kulaumu viongozi wakulaumiwa ni wazazi kijana wako halali nyumbani hushuhuliki hata kumuuliza analala wapi Wala ana shinda wapi kijana Hana kazi anatumia iphone humuulizi kaitoa wapi mukisema kazi ni urongo kama kijana anapenda pesa ya haraka ataenda kufnya kazi Gani akingoja mwezi mpka mwezi wazazi ni wakulaumiwa sio serikali wanaopata kazi ni wazazi waliwashikia ngumu vijana wao.
2026-10-26 20:17:01
5
🌵メ𝟶 ايشال 🌵 :
Atii ukiwaona unapewa how much..?
2026-10-26 20:06:58
3
mama la mama sharifa :
ya Allah tulindie watoto wetu na majanga haya mana vijana wadogo lakin Wana makubwa mno 😭😭😭🙏🙏
2026-10-27 00:01:08
2
Big 3 :
bangi pwani maunga pwani mugokaa pwani matembe pwani wkup my brothers and sisters we ar at deep war
2026-10-19 18:22:29
6
Mwebias :
free our brothers
2026-10-17 06:53:13
2
yamez eyez :
ulikuwa naye usiku wa tukio hilo
2026-10-27 04:17:14
0
SALEEM🇰🇪🇶🇦 🇹🇭 :
mwapenda kujiamulia mambo
2026-10-27 04:43:23
0
Aisha :
Nuno toa Amri kazi iendelee
2026-10-27 04:39:17
0
tukutane2027 :
Hapo mzazi atauza rasilinali zake zote Kutetea muhalifu,hiyo ndiyo shida yetu
2026-09-24 13:55:47
6
chully :
mungu atuongozee vizazi vetu sote
2026-09-24 16:34:57
7
Mjomba wa msituni :
nini hizi sasa
2026-09-24 14:54:35
2
user1761950182453 :
good job 👍👍👍👍
2026-09-24 11:15:07
2
umu khadija :
ewe mungu wasamehe uwaondolee hiyo tabia
2026-09-24 13:48:03
2
M&S🤑💫 :
njoo nikuoneshe wengine lakini usinitaje mmi ni jini 😏
2026-10-26 19:02:52
0
topboss papatano1 :
Halafu upate mzazi akisema mtoto wangu sio mkora[Laughing]
2026-10-26 20:49:34
1
Aunty Siza 💋💕 :
fusa zitatembea mpka wataachiwa
2026-10-26 22:15:51
1
calvine iravonga :
wapelekwe kabisa watu wafanye kazi sio kula mugoka na kukata watu
2026-10-27 04:23:47
0
scarlet fitch :
Mungu atuhifadhie waroto maana wakitoka inje hujui ni peer gani wanakitana nayo
2026-10-27 05:09:55
0
salmah :
wasilamu jamani ndio wanaogoza kwa ugaidi ohooo mygod
2026-10-27 05:24:36
0
To see more videos from user @bancheche1, please go to the Tikwm
homepage.