to my understanding huwezi linganisha timu ya Taifa na club kwa mauzo ya jezi, club zinauza jezi mara lukuki kulinganisha na timu za taifa
2026-09-24 10:24:58
20
binabiitwalibu :
mm nilisha sema makonda alikua sahihi Leo na anavyoongea Ni point tupu mtu kama unapigwa usiseme alafu akisema eti mnamuona anaharibu biashara Sisi tutakuunga mkono mh makonda
2026-09-24 10:26:41
28
Cyrily :
When Business Closed No Deal Anymore✅
2026-09-24 10:42:21
1
Meshack Nzibavuga :
hv wanunua Jez za taifa hua wanafika ata million 1
2026-09-24 10:52:25
14
PATRICK DANIEL :
point of interest
2026-09-24 11:37:34
0
Mashalla :
Utaniambia Nini nimetoka kumeet na Yamal?😁
2026-09-24 11:21:50
4
Jackson Michael :
Sasa kwani TFF walishikiwa Bastoral ndio wakasaini mkataba?
Mimi nashauri mkataba uheshimiwe na Mh.Waziri ulikosea kuharibu biashara public ikiwa mlisaini wenyewe muhimu hapo ni kuwaita kwa hekima na kukaa chini upya, ikumbukwe timi yetu ya Taifa bado haina hamasa kubwa ya kufanya hata tu mashabiki wote wa Simba & Yanga kununua Jezi kwa sababu bado sana inajitafuta.
2026-09-24 10:26:47
11
Stuwart Kusiga :
jay rutty
2026-09-24 11:28:56
0
Yuzoh😉 :
sio bonansi ni bonasi
2026-09-24 11:26:30
3
B M :
mwaka mzima tim ya taifa inacheza mara ngapi!?
2026-09-24 10:23:21
5
@king mochengx :
binafsi minakukubali makonda
2026-09-24 12:19:02
1
deogratiusgtigia :
Aliyemuelewa Waziri anieleweshe na mm
2026-09-24 11:06:28
2
cbm :
law of contract: As longer as the law was not broken, kupunjwa faida sio sababu ya kuvunja mkataba
2026-09-24 10:40:58
7
Baraka Africanas :
hivi una weza fananisha Business Deal ya Simba,Tanga na Team ya TAIFA?[Innocent]
2026-09-24 12:11:43
1
Kayanda Henry :
swali la pili je timu ya Taifa tunayoizungumzia ni hii hii ya siku zote au Kuna kikosi kipya?
2026-09-24 11:37:33
2
mussahusseni586 :
jezi zile mm mwenyewe nimeshangaaa utafikiria
2026-09-24 10:57:49
0
Riadi 17 builders :
kama huvai jez ya stars like hapa
2026-09-24 11:57:36
1
elly :
Waziri anajuwa sana wanyaoshe baba tupo nyoma yako 🫡🫡🫡🫡
2026-09-24 10:26:41
0
Danny pesa official 🇹🇿🇿🇦🇿 :
wazir akali mingi
2026-09-24 10:59:24
1
Mc kapori :
Taifa stars inayozungumziwa ni hii hii ambayo itatolewa mapema tu afcon???
2026-09-24 12:14:52
1
zizou :
Kwan mkataba walpewa na tff au makonda????
2026-09-24 11:00:13
1
Salum Mdetele :
hizi hoja dhaifu mnoooo haya yalikuwa makubaliano kati ya mtu na mtu sasa hapo kosa ni la nani kati ya tff na mwekezaji?
2026-09-24 11:17:02
2
SHIRIMA metal works⚒️🔧🔩💥💥 :
clab na timu ya taifa ni tofauti
2026-09-24 10:09:10
3
Jm_mabegi :
Mkuu biashara makubaliano mzee
2026-09-24 10:19:46
2
Desdery Kakwezi :
mliposaini mkataba mlikuwa usingizini na Sasa ndo mnashtuka!!
2026-09-24 10:48:41
1
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm
homepage.