@siasatz: Sandaland kazindua jezi iliyopostiwa kwenye page rasmi za TFF alafu kwenye kikao waziri anamtafuta mchawi? Okay 👍 Mhe. Makonda anasema yeye sio mgeni wa Jiji anajua wanaoisifia jezi ya Sandaland wameokoteshwa.🤣🙌🏻 #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30
Kumbe Afcon sisi ndio tuliotoa pesa mimi nilifikiri tumepewa pesa.
2026-09-24 11:46:52
2
muhamd gogo tz :
mungu ibariki Tanzania mungu mbariki makonda
2026-09-24 10:49:06
6
Mwaisa OG :
Naibu kazindua jez, Katibu Mkuu hana taarifa, Waziri hana taarifa. (Don't shine your master). [Snicker]
2026-09-24 16:02:27
2
mcolombia miner. :
ukosawa mkuu mungu akujalie
2026-09-24 10:21:16
6
Madian :
Safi kabisa mkuu
2026-09-24 11:53:00
3
ALBEITY :
alafu toeni TFF wekeni bendera tuh 🤦🏻
2026-09-24 12:12:28
3
NIDHAMU YA MAISHA :
kumbe sisi ndio tumelipa hela zote hizo tuingie huko timu yenyewe hatuna hizo hela zi zingelekebisha barabara za kwenda mikoani makorongo matupu nyinyi mnapeleka hela kwenye mpila wakati timu hatuna
2026-09-24 12:02:25
2
Athuman mreta :
akili kubwa
2026-09-24 10:28:38
4
Jeremia Karidushi :
safi kiongozi uko sawa kabisa
2026-09-24 12:26:18
2
Shey_vipodozi :
BILIONI 74 + BILIONI 30 NI BILIONI 104 MNGEPUNGUZA KWANZA DENI LA TAIFA ,MTENGENEZE PIA NA MIUNDOMBINU NA KUJENGA VIWANJA HATA MIKOA MI 5 ALAFU AFCON YA MWAKA MWINGINE HUKO INAYOKUJA NDO MNGEOMBA KUWA WENYEJI [Vergüenza]
2026-09-24 11:57:45
1
leylatotty :
safi sn Mh
2026-09-24 10:52:59
3
Simon Magaigwa :
Mtazamo wa hali ya juu sana.
2026-09-24 11:34:10
2
denisgabi17 :
mkuu umeongea fact kubwa....
2026-09-24 11:05:59
2
juniour langalism :
sahihi sanaaaa
2026-09-24 10:56:08
3
Tajirri Abbas :
upo sahihi
2026-09-24 12:38:40
1
MR.X :
Miss Dunia nayo mmelipa Kiasi gani?Utaifa ni Bendera je ina bendera ama laah?Usikute inatakiwa iwekwe jna la Raisi..Bado tuna muda wa kukaa chini kupata hiyo jezi bora ila mizozo hii inaonyesha kuna maslahi binafsi au vijichuki si utaifa..Wanunuzi wapaswa walalamike kisha wizara ibebe maoni ya Wanunuzi kisha kuibuwa hoja..
2026-09-24 18:03:02
0
leylatotty :
mana juzi nimeumia sn walivyokipigia msumari
2026-09-24 10:53:15
2
nassa mawe :
kumbe mambo ya kiwa magumu mnatoa sili kama tz tumelipa B104 Kenya wamelipa kiasi gan Uganda pia wamelipa kiasi gan na zanziba wallmelipa kiasi gani
2026-09-24 18:30:57
0
barakagerald :
hili lijamaa lina hoja
2026-09-24 11:11:48
4
The coolest man :
😂😂😂
2026-09-24 10:30:35
0
destro-Battalion :
🔥🔥🔥
2026-09-24 10:16:54
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.