@user4596988234707:

golden boy
golden boy
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 10:17:21 GMT
138403
3210
38
216

Music

Download

Comments

dullah.mjesh
Dullah Mjesh :
😁😁😁 Ukajua tunagombania sero
2026-10-08 17:57:55
5
user3783933142812
maggie :
hahahah!! nacheka barabaran
2026-09-24 15:01:15
5
faidha171
Fey💝 :
tulo toka kijijin mko wap
2026-09-24 19:58:16
9
omary.akida.omary
Rama hamis :
sio ww tu hata mm nilishangaa sana mpaka nikamuliza boss hizi gari ni za wafungwa au alicheka.mno
2026-11-06 14:31:39
1
user47744536268083
user Ashah tamba :
Kuna misemo humu jamani🤣🤣🤣
2026-09-26 18:32:25
4
hadijaissa540
🌹emmy🧕 :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]jaman
2026-09-25 05:06:14
2
hadijaunique
Q💞LOVE💝💝 :
10/10 mukuje huku chap
2026-10-25 09:11:32
0
abdulwahidmajid29
A$w@h¡d :
ila mkuu😂🤣🤣
2026-10-30 19:53:33
0
nasramohamed90
Neixy_XO25 :
kawaida😊
2026-11-02 22:15:01
0
scola8183
Scola :
Siku ya kwanza kufika dar nilishangaa kuona ndege zinapita kila saa hadi nikajiuliza Leo kunanini kumbe kawaida 🙆🙆
2026-11-05 09:14:34
0
queenzillah38
Queenzillah :
hhhhhh mwish leo nmegombania
2026-11-04 08:52:56
0
rama.chinga05
chinga jr :
me nilijuwa kuna gereza kila sku nikienda nikawa natafuta liko wp😂😂
2026-10-09 11:01:21
1
user257399211155
gazza :
aiseeeeeee
2026-11-01 15:42:59
0
derickdezidery
pets :
me hadi saa hz natafta gereza
2026-10-09 15:31:59
0
zaina6647
Zaina :
haaaa
2026-09-26 11:26:50
0
a2594026
Miss A2💞 :
🤣
2026-09-25 19:57:53
0
raybeka1
🎀raybeka🎀🎀 :
2026-10-06 11:19:25
0
chumu.baby7
chumu baby :
ahhaahahhaha
2026-09-24 15:36:50
3
user7632665534372
jamal :
mi nilishangaa watu wanagonga mawe flani iv kwa mkono nikajua wanauza madin kumbe wauza karanga n fegi
2026-09-27 23:30:10
1
reysteve255
Mr $$$ :
Me nlipofka dar nlitaman kila napopita niwe narekodiwa alaf niwa2mie wa maskan kwe2
2026-09-26 12:46:43
0
agalagachi
Rosimi :
🤣🤣🤣kumbe tuko weng🤣afu kushuka kwenye Panton naona watu wanakimbia mbio nikahis Kuna mwiz kumbe wanawah daladala 🤣🤣🤣
2026-11-08 08:31:48
0
alvin29153
Alvin :
kula ni bure 😂
2026-10-26 17:14:16
0
rccsupersembe
rccsupersembe :
😁😁😁
2026-09-24 17:46:12
2
tajireemtoto
Boss mtoto Tz😎 :
😂😂😂😂
2026-09-24 23:53:48
1
To see more videos from user @user4596988234707, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About