mim nipo lind bula la zungu nmepanda ila kama miaka mitatu iliyopita ila now gar zangu maning nice na balaka na tashilif ila nitapanda nikirud inshallah
2026-09-25 03:37:36
1
Neyshel morshen :
Next time uwende newala kupitia kitangari please just for me ☺️
2026-09-24 16:03:53
3
TAGEVEER :
daaah mtaan kusini mtwara
2026-09-24 12:35:54
1
laymbengari :
𝕛𝕞𝕟 𝕟𝕚𝕞𝕖𝕡𝕒𝕞𝕚𝕤𝕤 𝕙𝕠𝕞𝕖
2026-09-24 14:32:47
1
offical radhna😍😏 :
jamn ikwirr kwetu😂
2026-09-24 17:53:44
1
sheikh ibrahim :
Daaaah saf mkali
2026-09-24 18:02:23
1
dennislaw94 :
Mwenyeji Hashangai.. Andonni Iraola za nyumban Nachingwea hzoo
2026-09-24 20:30:35
1
pretty d :
mtwara kuzuri bwana
2026-09-24 14:17:12
1
dad's daughter :
m nilizopanda mweee nikasem sipand ten buti la zungu safar zangu zote gar mbovu mbovuuuu🤣🤣🤣
2026-09-24 15:29:46
0
Salmah😘💕 :
King Yasin tours ndio iko Poa kwa upande wangu jmn🥰🥰🥰
2026-09-24 16:30:55
0
@ATOCHA 💫 :
mabus mazuri sipati safar
2026-09-24 15:44:18
0
Junior D'lapon :
iyo bus ya kwanza kupishana nayo lazima ilikuwa Salam zao ya tandahimba mana jamaa wanatoka mapema sana
2026-09-24 16:40:53
1
KT MEDIA FILM :
Haya karibu mtwara, tunasubiri utuhabarishe ya mtwara, nimekufollow na nime turn on notification 👊
2026-09-24 12:57:51
3
georgecapello :
great work
2026-09-24 11:15:21
1
MARY CLASSIC STORE :
Daah hii siku namimi nilikuwa nasafiri ndani ya hiyo huti la zungu la mbele kwenda nachingwea ni nzuri sanaa kushinda hata hiyo ya mtwara🥰
2026-09-24 12:58:07
1
Tamxon Kyoso ✅ :
Namapachila ndio abali ya mtwara
2026-09-24 13:05:05
1
To see more videos from user @assad_mzururaji, please go to the Tikwm
homepage.