God thank you for everything in my life and my family too and and you for everything in my life and my family too and
2026-09-26 15:22:42
0
Dennis Maiyo :
God your the provider. make my dreams come true
2026-09-28 03:29:16
0
dennhodennis.coke.mm. :
,,,,Mimi na wewe4ever us my provider"
2026-09-26 22:17:33
1
Shibobu 💫 :
Thank you God for another day
2026-09-26 18:47:11
1
Esther🥰🥰 :
ahsante mungu kwa pumzi na uhai ulionipa na naomba unilinde na mabaya yote nizidi kukutumikia vyema
2026-09-24 16:09:22
62
Santina_yusuph :
Ahsante MUNGU kwa kila kitu mpaka hapa nilipo sio kazi rahisi nakupenda sana mtetezi wangu wa siku zote za maisha yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️🥰♥️🥰♥️🥰♥️🥰♥️🥰♥️🥰♥️🥰♥️🥰♥️
2026-09-25 23:10:47
8
Zuu 🌸❤️ :
Nampenda na kumwamini kama yupo na ninamuomba awe na mm daima nakupenda mungu wangu asante kwa kila kitu ww nimshindi kila siku
2026-09-26 23:40:14
4
Emmanuel maliba :
nakutegemea sana mwenyez naomba uniepushe na mabaya yote
2026-09-24 20:41:03
3
queen of peace :
ahsante sana mungu wetu kwa Zawadi ya uhai
2026-09-25 07:56:08
2
user8516545941566 :
mungu nakupenda nashukuru kwakunipa uwahi endereakunizidishia Asante mungu
2026-09-24 18:13:39
10
Asheri Bahati :
Asante Mungu naonaa dalili naomba unifanyie wepesi nikafanikiwe
2026-09-24 12:28:28
1
cute annhy🌹 :
asante mung kwa uhai na afya njem uzid kunilinda mm pamj na familia yang,rafik,wapendwa.amina
2026-09-25 07:38:41
2
getrude peter mush :
ww ni kila kitu mungu wangu bila ww mm sio kitu kwenye uso wa dunia 💫