Na ufaulu wa chuo GPA mnazingatia Kwa kiwango gani?
2026-09-24 13:09:03
8
Hope__Pius :
Aaah hiyo ni Uongoo...nshapata 81, written na sikua shortlisted🤣🤣🤣🤣 ...
2026-09-24 15:39:11
6
Emaam_Saed :
hakuna connection yoyote mimi ni mtoto wa kimasikini mbona nimepata bila hiyo connection??
2026-09-24 16:21:06
8
Abel Lucas :
nilikuwa naomba na sisi Walimu wa Arts muwe mnaleta maswali relevant to our professional sasa hesabu Physics na chemistry wengine tuna allergy na hayo masomo ni sawa na mtu aliyesoma mathematics umwambie achanganue sentence
2026-09-24 23:50:00
3
naomdevo💕 :
mbn wengne hatuajiliwi
2026-09-24 17:39:37
1
musa sinapalule :
upo sahii dada Kuna interview nilifanya mbeya pale yule mama akaniambia kasome mtoto wangu apa umezingua sana sikuchukia kwasababu Kila swali ninalo ulizwa nalifahamu ila nimesahau majibu mtaani nilikuwa nimekaa miaka SITA pasipo kujishuurisha na cozi yangu basi nikarudi zangu nyumbani kusoma nikaitwa kwa mala ya pili tena kwenye interview maswali yalikuwa matano tu Kila wakiuliza lipo nikajibu yote matano pdf ya kwanza tu nikaitwa nikamkumbuka Hadi yule mama
2026-09-24 17:20:15
7
phiner2025 :
ndo maana mhenipelekaa sumbawangaa kumbee nilipataa 50[Tears of joy]
2026-09-24 14:43:28
6
Unknownpersontz :
Kuna vitu mi sielewi. Mtu upo kwenye database. Afu wanatangaza nafasi na taasisi ni ileile nawewe upo pale mpla ile database ina expire.
2026-09-24 17:04:25
6
potentially :
yaani boraaa Mimi niliwaambia GPA si chochote eeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-25 05:38:24
1
Fix Odili :
mmempima mmeona ana uwezo na vigezo baada ya mwaka mnamtoa kanzi data why? uwezo ule umeisha? hilo halijawahi kuwa sawa na halitakuwa sawa kamwe
2026-09-25 04:43:13
3
user9840356103080 :
ajira portal isikee tu
2026-09-25 08:54:56
1
UNIQUE JEWELRY :
Mnajinenepea Tu Kuleni tu Maisha Yaan Mtu Kafauru Kakosa Ajira Anabaki kwa data base then Et Mtu ka Expire Daah Hivi Huo ni Mfumo Wa Aina gan sasa
2026-09-24 17:40:59
1
majaliwa jackson :
nchin bila connection uongo
2026-09-25 05:04:50
1
user7961988807675 :
hii expired data inaumiza sana madam
naomba mtazame hili
2026-09-24 13:10:43
1
Official-yankee :
uongo mtupu Tanzania bila connection hutoboi
Nilifanya hiyo mitihani ya TRA nilifaulu kuliko wote nilipata 80 lakini walinambia ety tutakupigia simu hadi leo hii
2026-09-24 16:07:34
3
boufer_himself🧐 :
Endeleeni kuamini connection, wengine tulipata na hatumjui hata mtu, na nilikaa kitaa miaka 9,kikubwa Mungu tu, ajira portal isikie tu🙌🙌🙌
2026-09-25 04:40:36
2
Dorie,N💄👠👸 :
ee Mungu wangu naomba unikumbuke na mimi nipate kazi serikalini
2026-09-24 20:38:36
2
Robbieactor🦅 :
au mfumo wa ajira hauangalii mambo ya GPA
2026-09-24 13:09:26
3
De master :
Je inawezekana vp mtu aliefaulu interview zote then mnaendelea kumshikilia amimpelek kazn jmn
2026-09-24 12:04:31
5
👸💋 :
Bas mngetupanga tu kaz za kujtolea mtpe at nusu y mshahara wengine tnkaa nyumbni mpka ndto zetu tunaon htuwez kuztmiza Ndio maan wengi saiv wanaon t waolewe tsaidieni jamani 🙏🏽huku nymbani ni kwa moto
2026-09-25 02:09:40
1
𝐃𝐄' 𝐑𝐔𝐆𝐀 𝐓𝐙𝟐𝟐 :
alieona ''Maafisa ugali'' 😁🤔 kama mimi☝☝
2026-09-24 15:20:54
2
Maria Charles :
waogo tu
2026-09-24 18:27:59
1
bizzo msafi :
tulitak kujua na ni mda gan unatumika mpak kuitwa baad ya kutuma maomb
2026-09-24 11:30:28
3
streetking1and :
Kwanini pass mark ya second interview (oral interview) haionyeshi huoufaulu ili kuonyesha mnafanya kazi kwa usawa na uwazi… Mimi nina mashaka sana na huu mchakato kuajiri.
2026-09-24 14:19:21
2
samirahassan15 :
analike2 kila kit ata ajibu hoja....
2026-09-24 16:05:07
1
To see more videos from user @upsten_ajiral_portal, please go to the Tikwm
homepage.