haya yapo kwenye jamii yetu kweli jaman hii move inaitwaje
2026-09-24 12:23:53
21
Esther Imani :
next please
2026-09-24 19:03:38
0
Iren wangu :
Inaitwaje hii jmon
2026-09-24 15:19:03
4
Aaliyah :
movie name please🥰
2026-09-24 17:02:52
3
phina :
Jmn movie ilikuw nzur sana hii sikutamani iishe 🥰🥰🥰
2026-09-24 20:37:29
4
zurfa my :
jina lamuvi
2026-09-24 18:37:55
1
triple j :
ndio maana nikipata uchungu sitak kujilegeza Kilatu anijue😂😂😂navyoondoka nyumbani km naenda mazoezin.
2026-09-24 18:06:15
4
Official gracious :
Niliondoka kama naenda clinic peke yangu nikajifungua nikarudi kimya kimya uck wamekuja kuona mtoto ana miez3 mara ety mbona hutupa taarifa khee kwsni wakati nabeba ujauzito niliwapa taarifa
2026-09-24 19:45:17
2
Naju❤️ :
movie inaitwaje
2026-09-24 10:59:14
3
user7875811941009 :
kitale hajawai kukosea filamu zake
2026-09-24 17:53:49
4
Momy JR :
jina la movie
2026-09-24 16:03:10
2
Mama Nancy :
wabaya kweri watu
2026-09-24 20:04:04
1
A & B 🔐 ❤️ :
binadamu binadamu 😎
2026-09-24 15:26:02
4
Careen Marco 🦋 :
mpk naogopa uwiii ila mtu mbaya hatoki mbali na usimuamini mtu kwny maisha 🥺
2026-09-24 21:02:37
1
vm💞 :
samahani
2026-09-24 16:21:03
1
user6661020375681 :
inaitwa samahani aste
2026-09-24 17:21:02
1
Deborah miracle :
Bonsoir
2026-09-24 16:29:03
2
Blessed :
Amen 🙏
2026-09-24 16:50:28
1
idaty idaty :
samahan asntee ndojin la move
2026-09-24 13:03:07
2
lydia kidoti :
imenifundish ndo mahan ukiumwa uchungu mtu asijue zaid y mmeo tu
2026-09-24 18:49:31
1
user6661020375681 :
samahani asate muv zulisan
2026-09-24 17:20:28
1
G cute🥰 :
Move nzuri sana 🥰 na inamafundishobndani yake🔥🔥🔥🔥
2026-09-24 12:54:44
2
Nuru Abdallah :
samahani Asante
2026-09-24 13:30:30
1
To see more videos from user @moseswakipemba, please go to the Tikwm
homepage.