umeisahau press R3 + direction ni balaa🤣(hii ni for players with five star like O.Dembele)
2026-09-24 12:13:27
2
Salegy :
kulikuw na ulazima wa kumuweka doumbia🤣🤣🤣
2026-09-24 22:44:43
3
GADAFIxWINNNNNN🇹🇿 :
5star only?
2026-09-24 17:51:43
2
msafi_store :
Tupe za 27
2026-09-24 16:18:34
1
natural smile :
me najua 113
2026-09-24 13:53:17
1
BAKHRESA :
doumbia kafikaje huku sasa🫴🫴😁🤔
2026-09-24 13:58:12
1
ZEROGRAPHIC🎮🇹🇿 :
hadi nimekufoolw we jamaa😂
2026-09-24 17:01:29
1
MWAMBA MBAAZI :
nice Tutorial BasicS Mamb meng unalose
2026-09-25 12:40:52
0
Chesco Jonas :
aah bro wewe ni balaa🙌🙌🔥🔥
2026-09-24 20:58:17
0
IBROH :
ila kaka mimi nina yangu moja iyo🤣🙌🙌 yani haizuilik bro haizuiliki ata ukabaje
2026-09-25 14:49:09
0
boi 99 tz :
hizo qali mkuu
2026-09-25 12:04:30
0
Fundi bomba :
iyo kwa ps5 tu au ata kwenye ps4 inafanya jazi
2026-09-25 05:49:28
0
MuhzTronix :
hiyo skill ya kwanza naitumia mnoo😅
2026-09-24 12:09:01
1
Mobile Autofix ⚙️ :
fanya yote usije kucheza PS na mtu ambae Jobless...Kuna mwanangu mmoja yy anaweza ata kuingiza mashabiki uwanjani na mechi ikaghailisha.....Kuna siku alifanya mchezaji akatema mate..🥺🥺🥺
2026-09-24 13:39:04
3
Goodluck Frank193 :
ivyo vi skills vyenu vitumieni kwa hao hao ukijichanganya kwa wakulungwa utaacha ndala😁
2026-09-24 22:10:55
1
Rich :
ni mwendo wakubonda tu
2026-09-25 13:33:47
0
Islama10 :
👍👍👍
2026-09-24 11:46:53
1
To see more videos from user @mackmude, please go to the Tikwm
homepage.