@uhondo.tv: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameeleza umuhimu wa kutumia mashindano ya Miss World 2027 kama fursa ya kuitangaza Tanzania kimataifa, hususan katika sekta za utalii, utamaduni na vivutio vya nchi.

Uhondo TV
Uhondo TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 10:53:04 GMT
48900
2090
115
95

Music

Download

Comments

pearldelmonte22
pearldelmonte22 :
Tuna arena ya accommodate
2026-10-14 14:18:15
2
swaibually
swaibu :
muha tanataka ashinde maana king of ability its kigoma one
2026-10-14 17:18:55
0
princeafrica106
Tanzanite💫💫 :
nakila kabila ipige nyimbo yake
2026-10-14 10:50:38
0
sabby7719
sabby :
Ulimi ni blue mheshimiwa
2026-10-14 08:14:40
24
margaretha.kivuyo
immaggie :
that sounds good really appreciate it [Heartwarming]
2026-10-15 14:49:33
1
miss.ruuh22
miss.ruuh🦋 :
Big idea
2026-10-14 18:18:54
0
user42811161808334
Neyp❤️🇹🇿❤️ :
aiseee Tz 🇹🇿 to the world 🌍
2026-10-13 21:06:41
22
essyt66
essyt66 :
let's go
2026-10-14 06:52:20
0
enjl699
enjl699 :
Atutaki ukabila jamni mbna unaturudisha alipo kataa nyerere?
2026-10-14 10:48:39
9
leysweety
african passion✨ :
ekwado chagua wasambaa bhan
2026-10-14 09:00:06
13
gracefrank700
🤍𝓖,𝓹𝓮𝓪𝓬𝓮❤️‍🔥 :
Nadhan utabiri wa wahubiri mbalimbali kuhusu Tanzania kuinuka yanatimia 🙏
2026-10-14 08:23:01
8
peterndumbalo793
Four wings motor parts :
Hapo kwa makabila naona haijakaa sawa labda ingekuwa vivutio bahati nzuli Tanzania inavivutio vingi sanaaaa[Pray]
2026-10-14 12:22:26
5
ramsonaloycentigw
RAMSON ALOYCE NTIGWA :
mheshimiwa atutaki ukabira Nyerere aliujataa ukabira
2026-10-14 08:17:04
6
user4777601032571
lido :
mh wazari taarifa .mim napendekeza pia tutangaze pia utalii kwa wale wazee wetu wakuzuia mnvua wawe sehemu ya utalii ndani ya tz mh Naungamkono oja
2026-10-14 09:47:10
3
marth.tz
Marth tz :
Jamani azam naomba muonyeshe iii mwanzo hadi mwisho jamani azam uwiiiii😂😂😂
2026-10-15 08:05:40
2
neemastephano74
Neymar :
TANZANIA oyeeeee Tanzania oyeeeee
2026-10-14 10:17:11
3
salmaaflica
salma Africa 🇹🇿 :
mimi mchile nakuja kuiwakilisha wa makonde😂😂😂
2026-10-14 20:48:09
3
twinie280
000160 :
Kama najiona kabila la kimakonde litavyopeperusha bendera
2026-10-14 11:15:01
3
miller2415_
The Dreamz :
Bado naangalia jinsi tunavyoenda kwa kasi
2026-10-14 10:01:33
3
eve690760
Eve :
fikra xa Makonda zidumu
2026-10-14 12:10:13
3
upendxth23h
upendxth23h :
wengi watachagua wamasai😁
2026-10-14 09:47:55
1
user6344719678215
310 catrina ahmady :
Waha tutashindaa😁
2026-10-14 13:05:44
2
slickone848
Slick One :
Mweshimiwa tusisahau kabila la wa Hadzab maana Chaba na Dudukwe walishaweza kulitangaza duniani kwakupitia social media 🇹🇿🇹🇿
2026-10-14 11:11:07
1
mpj.275
🇹🇿🇹🇿 :
kiongozi mm akipatikana anae taka kujifunza utamaduni wa wakrya mm nipo naomba miss atakae taka utamaduni wa kikurya 🇹🇿
2026-10-14 13:33:17
1
rockgsimbajike
Rock g simbajike :
hiyo kali sana
2026-10-13 10:08:41
1
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About