@ndumamedia: 😂🙌 Je, Unatafuta njia ya Kujenga Biashara Endelevu na Kukuza uwezo wako wa Kibiashara bila Kuathiri Ratiba zako za kila siku? Ungana na timu yetu ya usimamizi na mafunzo Kukuza ujuzi wa Kujenga Mifumo ya Kibiashara ya Kimataifa. 👉 HATUA MUHIMU: Bofya kiungo (Link) kwenye Bio kisha tuma ujumbe wenye neno "FURSA" kupata mwongozo kamili. Follow Account yetu Uendelee Kujifunza Zaidi kila siku! #ndumamedia #smartbusinessbuildsystems #networkmarketing #Jifunzekitu #uongozi
mungu mpokee maraika wako namleta kwa Dana Dana mbili
2026-09-25 07:21:09
481
mom Amaal🦋🥰 :
malaika akiwa kazini[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-08 16:30:39
1
Mrs Abeid :
fyeeeeeeeep
2026-10-08 17:52:54
0
majira majira :
jaman nyie
2026-10-08 07:21:10
0
baba RAMY :
uyu ramy kabisa🤣🤣🙌🏼🙌🏼
2026-10-08 14:09:56
1
its._mamii :
🤦🏾♀️Naombeni sticker ya “tunabonda tuu huku tunanyonga..”😂😂😂
2026-09-25 06:16:20
98
👊 :
anaejua faida na furaha ya mtoto huwez mfanya kitu uyo🥰
2026-09-24 15:39:08
353
Hamisi__khan 👑👑 :
kwani sanda ya mtoto pia ni 70000
2026-09-25 12:24:26
24
Cutee Zey :
Malezi tu hayo ,wangu hajaribu kuchora hivo😂
2026-09-25 08:38:29
58
KANG'WA♋️_Outifts🛍_SAZA :
Anakoseaa namsamehee analudiqa.yale yaleee 😂😂😂
2026-09-24 14:39:19
68
iliham ramadhani :
anakosea namsamehe anarudia yale yale🤣🤣
2026-09-25 10:17:18
8
M² Makini👇45–Ľífé :
Guys Kwan jeneza 5 kwa 4 shingapi 🥺🥺
2026-09-25 07:09:41
31
Tajiri Karia :
Alafu hiyo ni permanent maker
2026-09-24 13:42:39
5
six_nice :
mungu atanisamehe kwa nitakacho mfanya malaika wake
2026-09-25 03:29:00
34
Prince-dannie :
Mungu nilikuomba kiumbe umenipa naomba nimrudishe huko huko
2026-09-25 09:54:31
6
MÖŞEŞ :
kwaushauli wangu naomba ukalitunze store siku ya halusi yake utampa kama zawadi sawa mama
2026-09-25 11:46:55
23
Fey💝 :
tunaopitia shida kama hiz mko wap jmn me wakwangu ataniuwa jmn
2026-09-24 18:01:11
9
jorie :
Aisee kwang Itakuwa fashion Mapya kwa kwel
2026-09-25 09:16:48
6
carroline :
nakuomba🙏sana mungu wangu unipe hata wa hivi wawili[Heartwarming]
2026-09-24 18:50:37
9
🪖CHAS£R💭🦅 :
Jmn leo asubuhi nimepoteza buku alaf ghafla nimemsikia jirani eti anatak kuwaanzisha watoto wake shule za boarding mbn kama kuna vitu haviko sawa jmn🥲🥹
2026-09-24 22:33:14
19
Chimamy🖤🇹🇿97 :
Iyo ndio laha ya KUWA na mtoto heka heka ndani ya nyumba❤️❤️❤️❤️so fnny
2026-09-24 17:18:58
7
Vicky 💞🌹 :
😂😂😂 me nilinunua cm kubwa kwa mala ya kwanza nililala nayo na mtot kuamka asubuh amekojolea cm haiwak niliishiwa nguv hat za kumpga macho tu ndo yalimpga
2026-09-24 18:40:00
7
rehemajosephat55 :
unaweza kuzimia nashindwa kuelewa🤣🤣🤣
2026-09-25 05:44:34
5
honest girl :
mnatutisha sass kununua sopha nyeupe jaman😂😂😂
2026-09-27 20:12:46
1
user3361170976177 :
Hahaha alivyo bize kama anaumba nchi
2026-10-09 06:01:01
3
To see more videos from user @ndumamedia, please go to the Tikwm
homepage.