Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@inked_thoughts4:
Harrison
Open In TikTok:
Region: UG
Thursday 24 September 2026 11:24:57 GMT
2243
133
2
2
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0.1MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0.08MB
)
Watermark .mp4 (
0.19MB
)
Music .mp3
Comments
Dàve :
There's no peace for the man who has seen what he can become.
2026-09-24 13:27:39
0
@DARK MIND☠️ :
2026-09-24 11:29:16
0
To see more videos from user @inked_thoughts4, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Imeelezwa kuwa kwa sasa Mkoa wa Geita unakadiliwa kuwa na watu wanaoishi na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi 95100 ambao kati yao Asilimia 82.2 wanatambua hali zao za Maambukizi huku asilimia 99 wakitumia Dawa za Kufubaza Virusi vya Ukimwi na wanaotumia Dawa za Virusi vya Ukimwi ni Asilimia 98.3 na wamekwisha fubaza Virusi vya Ukimwi. Hayo yameelezwa na Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Mkoa wa Geita , Dkt. Yohane Kihaga wakati alipokuwa akiwasilisha Taarifa mbele ya Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Mapambano dhidi ya Ukimwi katika Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita ambapo amebainisha kuwa kwa Mujibu wa Utafiti wa athari za Ukimwi kwa mwaka wa 2022 / 2023 kiwango cha Maambukizi kwa mkoa wa Geita kilikuwa ni Asilimia 4.9. " Mkoa wa Geita kwa Mujibu wa Tafti za Athali za Ukimwi kwa Mwaka wa 2022 / 2023 kiwango cha Maambukizi kwa Mkoa wa Geita ni Asilimia 4.9 , wanawake ni asilimia 5.6 na wanaume ni Asilimia 4.2 utaona kiwango cha Maambukizi ni kikubwa wanawake kuliko wanaume lakini kwa Utafiti wa Athari za Ukimwi kwa 2016 / 2017 ulionyesha kwamba kiwango cha Maambukizi kwa Mkoa wa Geita yalikuwa ni Asilimia 5 , " amesema Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Geita , Dkt. Kihaga. " Kwa Mkoa wa Geita watu 95100 wanakadiliwa kuishi na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi kati yao ni Asilimi 82.2 wanatambua hali zao za Maambukizi na Kati yao wanaotambua hali zao za Maambukizi asilimia 99 wanatumia Dawa za kufubaza Virusi vya Ukimwi lakini wanaotumia Dawa za Virusi vya Ukimwi ni asilimia 98.83 wamekwisha fubaza virusi vya Ukimwi unaona kuna mwendelezo mzuri wa Huduma , " amesema Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Geita , Dkt. Kihaga. Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania , Dkt. Adam Mrisho amesema lengo la kufika Mkoani Geita ni kuhakikisha Bodi inafika na kuangalia namna fedha zinazotolewa na Mashirika pamoja na Serikali zinafanya kazi kupitia Bodi inayoidhisha Fedha , amesema lengo lingine ni kupokea Mapendekezo kutoka katika Makundi mbalimbali ikiwemo Ofisi za wakuu wa Mikoa , pamoja na Halmashauri . Naye Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Kudhamini UKIMWI , Sabasaba Moshingi amewaondoa hofu Baadhi ya watumiaji wa Dawa za Kufubaza Makali ya Virusi vya Ukimwi kuwa licha ya Mashirkka , Taasisi kujiondoa katika kutoa Misaada ya Dawa za ARV lakini Serikali bado inaendelea kuhakikisha Dawa hizo zinapatikana katika meneo yote yanayositaili kuwepo kwa Dawa hizo.
#xanzprst #presetalightmotion #fyp #primevalspider #gabagtha
#الشعب_الصيني_ماله_حل😂😂🏃🏻♀️ #جخوالشغل_دا_دويتو_اكسبلور #الصفحه_ضعيفه_فزعه_ي_الاخوان
tay đâu mà mà giơ cha 🤣🤣🤣
Cops #cops #fyp #police #viralvideo #omg #videos
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy