@abdulhafidh575: 🤰

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 11:32:55 GMT
14490
476
23
124

Music

Download

Comments

girlattitude0786
PUNJABI GIRL :
mimi nimewahi kuota nimezaa wawatoto wawili wazuuri awamu tofauti
2026-09-24 14:54:42
0
jamilarabii
jamilarabii46@gmail. :
shekh Asante sana kwa kuongoza uma wa kislam
2026-09-24 14:05:43
1
user3770772046921
Dr Afolabyy :
jamani hii shida yanitesa imagn mimba tatu mpaka nkaachwa daaah
2026-09-24 19:17:51
0
user4431766724781
user4431766724781 :
mm shekhe naota nableeed na kweli nikiamka nableed
2026-09-24 13:53:37
1
salmabritish
salmabritish :
mim naota ni mjamzito
2026-09-24 13:52:55
1
zainab.abdala7
Zainab Abdala :
mm kaka hii mimba ya 3 inatoka 🥺na hua naot mtu kutka kuniingilia lkn hua hatuwah kufany lile tendo lkn nikijihs tu nna mimba bas schukui wiki inatoka
2026-09-24 19:22:20
0
mwanahija528
Mwanahija :
mm huwa naota nalala na mtu usingizina alafu kama naanza mimba yatoka nayo ni kwa sababu gani
2026-09-24 14:18:23
0
user6986926247231
msekwa makame :
mimi nipitia hayo uliyo ogelea
2026-09-24 16:50:02
0
nairyy05
Nairy❤️❤️ :
Hayo masiwa ya mbuzi yanapatikana wapi jaman wengibe tulipo hamna mbuzi
2026-09-24 13:57:42
0
user4376251746794
Ahmed ally :
nimm nishahabu mimba 6 sijapata mtoto ten mm nazaaaa kabisa
2026-09-24 12:37:17
0
aminaalkanaan
Amina Al-kanaan :
vitu vinne maziwa ya mbuzi lita mbili utaeka kwenye frige hiliki ya unga tende robo utachukuwa na asali safi utaeka pembeni utachukuwa bakuli utatia a
2026-09-24 17:24:21
0
suheylaomar89
suheylaOmar89 :
kama hakuna maziwa ya mbuzi? 😢 😭
2026-09-24 16:33:21
0
user6120542037855
mwanaisha :
nikweli kaka
2026-09-24 15:26:11
0
arabia7582
Arabia :
mimi nilipata niko hospitali nataka kujifungua akaja mtu akamwambia mara zote unafanikiwa lakini mara hivi huyo fanikiwa nampakaleo zinabeba mimba hata yakiharibu nakuomba unisaidie
2026-09-24 11:51:52
0
user4431766724781
user4431766724781 :
mtihani
2026-09-24 13:54:45
0
dijjah_designer
dijjah_designer :
Ukiwa mjamzito alaf unaota unajifungua ni tatizo?
2026-09-24 17:28:37
0
aminaalkanaan
Amina Al-kanaan :
ukianza siku zako au ukijiona dalili za ujauxito
2026-09-24 17:27:57
0
aminaalkanaan
Amina Al-kanaan :
utachukuwa bakuli utatia maziwa tende na i utaroweka siku moja na hiliki kesho yake utachuja na utatia asali utakunya kila usiku saa moja ukianza blid
2026-09-24 17:27:26
0
adidjadjuma745
Adidja djuma :
🥰
2026-09-24 15:20:29
0
mrsr14273
mrs~R :
😁😁😁
2026-09-24 18:47:13
0
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About