sure kaka I thought you will support but kumbe unajielewa well said...
2026-09-25 08:23:28
1
mkaii comedian :
it out iu.u.. i
2026-09-25 12:57:18
0
𝑪𝑯𝑰𝑲𝑰 𝑽𝑶𝑰𝑪𝑬 🎙️ :
maadili ni muhimu asili yetu Africa tusisaau
2026-09-24 15:58:37
2
criss Freez :
sikiliza nyimbo yenyewe lazima video iwe ivyo
2026-09-24 18:49:09
1
Tommy Signal once again :
fact
2026-09-24 13:30:00
0
Ukhty Zaynab :
huwenda nyimbo ilikaguliwa ila hiyo vidio ya wimbo wenyewe mimi nilivyoona hiyo ya amonazi nilijikuta naangalia kulia na kushoto kumbe niko mwenyewe nikatoa haraka yani aibu naona mimi duuuu
2026-09-25 11:35:32
0
Sward :
Kwaa anko t hawamuonii
2026-09-24 11:52:21
1
kefa by :
nili kuwa na subiria brother uongee
2026-09-24 14:51:00
1
𝐼𝑇'𝑆 𝐶𝐿𝐸𝑀𝐸𝑁𝑇 ✍️✍️ :
kwani wamefungiwa Kwa mda gani
2026-09-24 20:32:05
0
Mwana :
kwa kweli walistajilimkufungiwa. Swali.langumkwa nini nyimbo hazipitishwi BASATA kwanza????
2026-09-25 04:37:59
0
Chrian bana :
upo xawa mwanang
2026-09-24 13:36:41
0
Danic 1 :
kama umetupigaa😂😂kuwa upande mmoja bana
2026-09-24 13:18:54
0
DASTUS :
kwahiyo mmemuona nandy...ila anko T ndo mmemuachia uhuru.......