tatizo tuna post wakeza watu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-24 13:43:57
1
chonje :
sahiii 🫡🔥
2026-09-24 15:44:21
2
ØFFICIAL_KATUN✌️ :
we si nilikublock 😳
2026-09-24 16:18:43
28
Peter._official25 :
asa bando langu mnanipangia
2026-09-24 14:30:27
34
alometric 🏋♂️ :
stay hard, Be a men🏋️♂️🏋️♂️
2026-09-24 18:13:47
0
BARAKA SHIRIMA :
Usilazimishe akili za wanaume wote zifanane
2026-09-24 15:42:51
10
EMERGENCY MC :
ulivo ongeatu ume nikumbusha kuangalia
2026-09-24 15:42:19
24
gideon0654636603 :
ten kwrli
2026-09-24 17:57:10
0
Jozee Mtiliga :
sas kama nimepost status inachekesha aah usinipangie sas
2026-09-24 16:10:45
0
Abdallah :
Naangalia na hunifanyi chochote
2026-09-24 15:53:03
9
wizzy best🧭🏟.... :
:Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-24 16:01:41
8
B🅾️Y FROⓂ️ M🅰️S🅰️SI 🏴☠️ :
uwezi nishaur kwenye WiFi ya jirani yangu 😂
2026-09-24 16:20:39
9
Pop_Sly :
uwakika bro
2026-09-24 14:17:21
4
Wigs affordable :
SITAKI📌
2026-09-24 16:36:30
3
Joma :
hii ni saw kabs👊
2026-09-24 16:40:21
2
Alfred :
umejuaje kama hufanyagi
2026-09-24 15:49:10
2
Youngson@@$ :
oa kweri bloo
2026-09-24 16:37:24
1
Charleskillz :
mbona tunagombezwa 😂😂😂
2026-09-24 17:08:53
2
user3927943573874 :
Mm siwezi
2026-09-24 16:35:44
2
Jef_Clo. :
Nakubal
2026-09-24 14:33:58
1
Yax Nation😊🤗:)@};—🤔 :
Mwenyekiti 💪💯💯
2026-09-24 15:37:13
4
chosen one :
2026-09-24 15:37:46
1
Official E Blaze 👽👑🇿🇦 :
Kwanini unipangie kwenye simu yangu bro
2026-09-24 18:28:49
2
Lonely Lover🥹 :
Sasa ka nimetaget mtu😒 nitajuaje ka imemfikia
2026-09-24 16:43:03
3
NICHØLAU$ :
Bro huw nakukubali sana na kama uko na namba ya mpesa ni vizuri sana endelea kuwa nayo
2026-09-24 17:46:46
3
To see more videos from user @iam_demymoh, please go to the Tikwm
homepage.