🇹🇿:Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-25 06:37:25
20
user9087245791499 :
najua haiwahusu lakin nmetoka kunyang'anywa simu
2026-09-25 05:23:03
5
💞@Mommy💝cey💞 :
yan ninachompendea huy dada hajui kununa mda wot ni kucheka2 yan had raha🥰🥰🥰
2026-09-24 20:35:27
5
Dj galaxy 🇹🇿 :
nawaombeen penz lenu lifikee mbalii
2026-09-24 12:51:53
51
medrini🥰🥰💥 :
maiki kaivaa saangapi sisi so watoto
2026-09-24 13:44:16
145
ishan dressing point📍 :
Jmn hyu dada ana discipline ad nimemtamania🤭👌
2026-09-24 16:54:04
20
user1256135179547 :
shukuru umepata mke mwenye kuomba msamaha
2026-09-25 05:19:45
8
NAYE🦋💦 :
nan alikua anamrecord uko nje?😂
2026-09-24 14:38:19
51
mary merah💦💦 :
waxhakugongea😄😄😄
2026-09-24 13:14:50
23
Major Kiddie :
Kazuri kama vipi tubadilishane na wa kwangu
2026-09-24 18:16:50
5
To see more videos from user @motistar.tz, please go to the Tikwm
homepage.