@mo_salaah_planner: Hakika... Haijalishi ni ngumu kiasi gani, maumivu kiasi gani, na mbaya kiasi ganii ila t ni hiviii... Ipo siku t mwanangu haina jina utasahau t yote magumu unayopitiaa kwanii.. m/mung aliempa furaha mwengne, amani mwengne, afya mengne na mafanikio mwengne basi na ww anakupa ni suala la mda t kwasababu.. Mungu ni wa wote wanadamu subiriaa t. Kwa ushaur nasaha wa biashara, utengenezaji content, matangazo ya biashara na elimu ya kifedha n text or come DM and make sure you follow @mosalaahplanner jifunze| panga| Kua #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #foryoupage #tredding #islamic_video