@lishe_yamamanamtoto: Kuna vyakula ambavyo vinaonekana kawaida kabisa nyumbani, lakini kwa mtoto namna ya kuvitoa ndiyo jambo kubwa. Kabla ya mlo wake mwingine, kuna vitu vichache unahitaji kujua. Swipe mpaka mwisho. 👀

Lishebora Nutrigrow
Lishebora Nutrigrow
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 13:16:19 GMT
30078
311
19
172

Music

Download

Comments

radhia.ramal
Radhia Ramal :
Yani siku hizi mambo ni mengi khaa zaman miez sita uji wa lishe wa maziwa juic unapewa supu saiz kila kitu madhara 🙌🏻
2026-09-24 21:21:18
8
asiaabeid4
asia :
kwahyo inatakiwa ale nn sasa
2026-09-25 04:46:35
2
victormathiascharles
Victor Mathias Charl :
vyote hivyo nimempa walah , yaan bia tu ndo cjampa na ana miezi kumi now nilianza kumpa akiwa na miez minne
2026-09-25 09:02:45
1
lovness49
lovness49 :
apo kweny maziwa jamani yooh nilimpa mwanangu maziwa kumbe nilikua naenda kumuua mtoto wawatu kumbe Yana nyonya Damu asee
2026-09-24 17:56:46
0
jeniphermatowo3
Jenipher Matowo :
Vingine vyote nafahamu ila hapo kwenye karanga 😔😔
2026-09-24 19:00:29
1
ukhty.himlaty
Ukhty Himlaty❤ :
mh hpo unetupeleka chaka bhn
2026-09-25 07:50:50
0
fridatemumasaule
Fridatemumasaule :
Nitawalisha Wanangu kma nilivyolishwa na mama yangu miaka ya 88 Inatosha
2026-09-25 10:31:14
0
estherhassan032
jessie🥰 :
me nshawapa sasa na wamekuwa😅😅
2026-09-25 07:18:51
0
1025october
October 25🦋 :
wangu anapenda machungwa jamani
2026-09-24 19:03:10
0
shakeelakhalifa
Shakeela :
Sasa kwan hao wtt wenyewe wanasemaje maana vyakula vya wakubwa ndio wanavovitaka
2026-09-25 08:30:48
0
fridatemumasaule
Fridatemumasaule :
Wangu nawalisha kma ki
2026-09-25 10:29:53
0
ikraamishaq2
lkraam :
Mpunguzage ushauri 😏😏 matunda ni muhimu kwa watot
2026-09-25 12:39:14
0
idrisashabaniisaka
Idrisa Shabani Isaka :
@Hawa Maingu995
2026-09-25 10:22:57
0
To see more videos from user @lishe_yamamanamtoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About