@paulina4j4: 😂😂😂😂

Paulina 🌼🤍
Paulina 🌼🤍
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 13:53:46 GMT
22654
348
65
37

Music

Download

Comments

raymerjohn8
Rayme :
kwan mikoan n wapi jmm
2026-09-24 19:05:22
1
siria6041
Jayden🌟 :
watu wa mikoani mnjua jiji la tanga ndiko mapenzi yalipozaliwa hamjui watu wanavyo teseka😅
2026-09-24 21:41:08
1
halifajunior111
Halifa Lubuva 🇹🇿 :
Ni kama watu wa mikoani wanavyodhani huku Dodoma kwakua hospitali ya vichaa ipo huku kwa hiyo vichaa wapo kila mtaa
2026-09-24 20:14:43
1
betty_ryker
Betty🧚‍♀️💞 :
Watu wa mikoan mnajua huku singida mafuta ya alizet Ni maji tunaenda singidani kuchota tuu😂
2026-09-24 20:43:38
2
hendr700
hendricah :
kwaiyo mkoani ni wap et[Tears of joy]
2026-09-24 16:13:24
0
2552linahcollection1
2552linahcollection1 :
au huku geita dhahabu tunaokota
2026-09-24 22:35:00
0
itsenjoy00
566@monna🥰 :
kila.mtu na mkoa wake😂😂😂😂
2026-09-24 18:32:07
1
cdelatino2070
latino 2070 :
daaaah we wa mwanza noma sana
2026-09-24 20:05:21
0
stellamwakikao
simpletrends2 :
wanakoment section mmenishinda tabia 😂😂
2026-09-24 19:49:33
0
mcharosdaughter
Yuu :
Kwan wa mkoani wenyew wanasemaje 😂
2026-09-24 20:41:08
0
ms.agness60
Bukwimba jr :
watu wa mikoani wanadhani dhahabu tunaiokota tu ata tukiwa tunalima
2026-09-24 21:14:00
0
user3707398161204
user3707398161204 :
nikama watu wa mkoan wanavyo Dhani huku singida mafuta tunachot kama maji 😁😁
2026-09-24 20:44:11
0
user3678543540117
miri@nehemia :
kwani mkoani n wapi sasa😂😂😂😂
2026-09-24 19:06:28
0
sophiamakombo
💜souh :
kwani mkoani ni wapi mbona sielewi maana ata cjuh niko wapi🤣🤣😅
2026-09-24 20:27:14
0
aiem.roses
Aiem roses :
nmecheka kwa nguv
2026-09-24 16:42:33
0
messrume
mercy# :
wa singida tuna coment wap 😁😁😁
2026-09-24 21:29:52
0
rosemanyama321
🌹 :
ni kama watu WA mkoan. wanavyozani huku mara mapanga yako Hadi choon😂😂
2026-09-24 20:59:34
1
user32813961665196
living_general354 :
vita bado ni mbichi....😂
2026-09-24 18:50:43
1
farrymissago
Farry Missago :
ni km wanajua huku Tabora asali inachotwa km mchanga tu😂😂
2026-09-24 22:30:55
1
user36124490295960
user36124490295960 :
si kama huku bukoba watu wa dar wanavyodhani senene ni kama mvua za masika
2026-09-24 21:54:33
1
aikande26
Aikande fashion 🦋🧸❇️❇️ :
Huku tabora mnaona kama asali tunakingaga mtoni kama maji.😂
2026-09-24 19:17:53
1
mom..faah
mom..faah :
nyie watu wa mkoan mnadhan mtwara korosho znaota adi nyumban😂
2026-09-24 17:03:06
1
lizypriva
lizypriva :
yan wakijua2 uko Mwanza utasikia tutumie sato mhhhh mngejua tunakula furu mpaka tunaziita mawashio
2026-09-24 18:59:22
0
phia87065
MarryBliss❤️ :
Alafu nasikia Dodoma zabibu za buku ni box
2026-09-24 16:25:36
2
vaileth.paschal2
Mrs.AI :
Alaf ninyi watu wa mkoani mnadhan geita dhahabu ipo juu unafika na kuokota ety
2026-09-24 16:55:30
1
To see more videos from user @paulina4j4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About