kitambo san mzee wetu wa injili
chuga moja iyooo😂😂😂😂
2026-09-26 10:24:57
8
Rich reen 🦋🦋 :
Jamn 😂😂😂 ananichoshaga uyu baba
2026-09-25 16:19:48
5
@lulucutee921 :
kumbe nanyie mnamjua😳
2026-09-25 17:43:27
3
BA ALVIN :
yupo mosh
2026-09-25 04:10:21
2
Mery claudy :
hii ni Alhmiss pale kwa kijembe mihogo ila anajuwa kuimba uyu baba
2026-09-25 20:53:13
5
Robson ernest :
anabweka au
2026-09-25 17:51:53
2
emma :
Niliambiwaga niwa systerm alooh🙌🙌
2026-09-25 04:45:39
2
Danny auto motive :
unamuoteagaa wapi
2026-09-25 07:12:40
3
Sifaeli Melitta :
nilimuacha stand ya misuna pale singida nikapanda gari kuja Moshi nikamkuta stand ya Moshi nilistuka nikajua Niko kwenye ndoto kumbe ni kweli 🤣😂😂
nilidhani mauzauza
2026-09-26 02:45:51
3
Huruma sio malezi :
kila mkoa yupoo sio moshi tuuu
2026-09-25 17:14:31
2
Dominika :
mh Leo nimekutananye stand ya mboya duh
2026-09-24 18:37:23
2
waa.thug :
Mr mwanya
2026-09-25 12:57:33
2
Aminahamadi@ :
Yupo arusha
2026-09-25 19:45:26
2
mayyabdi1 :
Yaani ukipita mbele yake anakuimba hapo hapo😅
2026-09-25 20:03:09
2
Merry ❤️❤️ :
🤣🤣 mtumish wangu ndo huyu au naona wenge
2026-09-25 23:03:48
1
safari kimaro :
Hapo hajaanza kuchezaaa🔥🔥🔥
2026-09-25 06:20:02
1
user1272057761679 :
Mungu ana watu wengi
2026-09-25 14:58:24
2
deo154 :
🤣
2026-09-24 19:31:07
1
DSMATH HD :
😅😅😅
2026-09-24 15:05:19
1
Disminder boy :
Uyu jamaa namkubali sanahhh
2026-09-26 07:34:48
1
Annie🥰 :
Yupo arusha au wanafanana😂😂
2026-09-26 19:40:44
0
Beautiful mwanya 🥰🥰😆 :
simuoni Arusha saivi Yuko wapi???
2026-09-26 20:20:13
0
Ms Dorrie :
😄😄😄😄anajua kuimba bhana
2026-09-26 13:37:52
1
meshack Clintoni :
nishamwon tengeru
2026-09-26 11:19:30
2
Naah mhindi :
hahahaa uyo ni mtumish wa mung jmn
2026-09-26 13:49:23
0
To see more videos from user @officialmrmoney3, please go to the Tikwm
homepage.