@salmasaid_znzyetu: BWANA SULEIMAN HAMDU KUTOKA BUMBWINI

Salma Said
Salma Said
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 14:14:20 GMT
18568
640
75
84

Music

Download

Comments

said.nassor0
SAID NASSOR :
ccm oyee
2026-09-24 19:18:20
0
jaah.jaah5
Jaah Jaah :
Wazee wabumbwini kweli siku hizi mmepoa zamani hasogei Mtu apo
2026-09-24 16:27:57
21
kkusumk
Kulthum :
DHULMA tu znz! HasbunAllahu wa ni'mal wakeel
2026-09-24 15:35:07
8
saleemhemedy
Saleem Hemedy :
mapinduzi daima daima mbele
2026-09-25 04:53:45
1
hhajjrah
Hajjrah Juma :
Panajegwa nini?
2026-09-24 15:46:08
2
abu.huda05
Abu Huda :
Zanzibar kila sehem ni dhulma mana watu wakitegemea kilimo sasa unakataka miti yote kisa nini
2026-09-24 16:10:21
7
raasheed02
raasheed02 :
ttz kuongea hamjui wazee wangu alf elimu inasumbua saivi😊
2026-09-24 23:26:48
0
alhaji6iniesta
Alhaji@6iniesta :
miti ikeshakatwa mazao tutapata wapi na sehemu za shamba ni aibu kua hakuna miti ya mazao, ni aibu sana había ya zanzibar inapotea,
2026-09-25 15:01:35
1
rahima.s93
Rahima S :
hunimtihan mkubwa sana jmn kila sehemu wanaitaka serekal hivi jamn maeneo yatangu na leo hii watu wanakula zulma tu
2026-09-24 16:29:55
3
oblak606
@ oblak 13 :
wazee fanyen kweli bci
2026-09-24 16:42:17
4
kibeki_ali_patrik
Kibeki Ali Patrik :
Mitano tena
2026-09-24 15:53:05
1
binrahma6
binrahma6 :
yaan wanasema hawajalipwa miti wakt hyo miti ipo kwenye na ardhi ndy mali
2026-09-24 17:14:44
2
faheem.eric55
Faheem Eric55 :
Duu!hatarii
2026-09-24 16:10:56
2
user32735994960185
oo :
hakika ya dhulma ni kizaa kikubwa siku ya kiama,,,madaraka yasituhadae
2026-09-24 18:57:44
2
issahamad00
issahamad00 :
Mzee hati unazo
2026-09-24 16:45:22
1
mbovurider
Mbovu Rider 🚀 :
Mwinyi oyeee
2026-09-24 18:30:56
1
salaah955
salaah955 :
Dhulma ya mwinyi hiyo na tawfiq na Ali bakari
2026-09-24 18:13:48
1
cotton.128
Cotton 12 :
5
2026-09-24 17:52:12
0
salehsaighy
salehsaighy :
duu hatarii
2026-09-24 20:40:07
1
user5624100452297
user5624100452297 :
sema huwaambii kitu na ccm yao ao
2026-09-25 11:55:14
0
murattywamuratty
Muratty :
ebanaa wee Rais anajuaa anacho kifanyaaa, ikiwa kilaa leo anasema watu wapewe haki yao kwenyee vyombo vya habari na huku tunaona tofaut na anacho kisema majukwaani mie nasema Rais anajua kilaaa kituu in and out...wanotoa pesa kama ni wizara ya Feza yee ndo kiongozi mkuu akisema toa toa na kwa nn vitu vishaanza watu hawajapewa haki yao
2026-09-25 19:59:27
0
jokha744
jokha :
ccm oyeeeeee 🤣
2026-09-25 15:37:29
0
lamu.taxidriver
LAMU TAXI DRIVER :
bumbwini hawana ishu saivi dah
2026-09-25 13:22:27
0
almahrouq1
ALMAHROUQY :
fanyeni mambo ya Kiswahili na nyinyi nashangaa
2026-09-25 12:15:30
1
suleiman.mussa03
Suleiman Mussa :
serekali muache wizi kuzulum watuu
2026-09-25 21:34:25
0
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About