@salmasaid_znzyetu: BWANA KHAMIS HAMID KHAMIS

Salma Said
Salma Said
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 14:16:25 GMT
28495
1080
156
260

Music

Download

Comments

shunuu11
Shunuu❤️☺️ :
Heeeeeee hiiii English ya TikTok basi tenaaaa😂😂😂
2026-09-25 05:58:57
1
saleemhemedy
Saleem Hemedy :
they dont care about us juja
2026-09-24 21:08:57
0
songa.koscielny
Songa Koscielny :
The Government of Dhulma.
2026-09-25 11:06:21
2
mudathir_taxi_drive_
mudathir_taxi_drive_tours :
Naona sas mshafika bumbwin mnawatafta wat wa bumbwin mie simo jmn😁😁😁
2026-09-24 17:49:50
15
abu.huda05
Abu Huda :
Mwinyi unachukua dhamana kubwa juu ya Allah acheni hii dhulma Yani watu wanaona nchi inajengwa lkn kwa pesa za dhulma kila pahali watu wanahamishwa
2026-09-24 16:07:58
33
user2670046617376
Anco jey..@72 :
October tunatick ✅
2026-09-25 03:15:50
1
kadamlwenje
kadamlwenje :
Mlienda kupiga kura mara mbili mbili saivi mnatupigia kelele hapa
2026-09-24 19:10:35
9
nassib.pemba
Nassib pemba :
father kaongea kwa uchungu
2026-09-24 14:40:01
11
abdillah.salum19
Abdillah salum :
asante
2026-09-25 09:24:24
0
raggyy9
Sal :
Kumbe si mji mkongwe tu, tulisema kama Mwinyi hana uchungu na Zanzibar kuna watu walitukana
2026-09-24 18:13:11
7
mohammedsalumha11
Mohammed Salum Hamad :
mwinyi fanya maendeleo usisikilize ya watu
2026-09-24 16:20:25
4
user8519759194753
yunu :
yaa Allah wafanyie wepesi waja wako wanaumia
2026-09-24 17:11:47
10
ibrahside6
Ibrahside :
muje na huku kwetu ndijani😎
2026-09-25 13:21:45
2
ahmedfakih66
Ahmed :
kwani hao marais walopita hawajui maendeleo wao mbona anasumbua wazee wa watu tena km maendeleo afanyie wanaotka wasiotaka awawache asitafute balaa jmn
2026-09-24 19:52:13
6
user44373133228216
Didah😘 :
znz vilio vimekua ving ila kipind cha kura 🤣🤣
2026-09-25 17:58:48
0
ibn.othman5
Ibn Othman :
Ile kauli ya Rais MWINYI siku hizi siisikii tena kuwekwa nanukuu"akitokea raia yoyote yule akidhulumiwa haki yake bas Nina dhima mbele ya Mwenyezi Mungu" swali langu ikiwa malalamiko yanakwenda je ni hatua gani zinachukuliwa?
2026-09-24 15:36:41
6
baba.wa.imaan
Nyota ya kheri🌟 :
Huyu Raisi wetu awe makini sana, na ajifunze kupitia Dkt Salmin Amour...watu wakichoka hawashindwi kufanya maamuzi magumu hatakama watakufuru.
2026-09-25 15:05:16
1
hermes800
mme wangu2000 :
na hiyo ni kweli miaka ya mbele kuna watu wataikimbia zanzibar
2026-09-25 19:22:37
0
user131561855
user131561855 :
hayoo.maendeleo baba
2026-09-24 17:07:52
0
zainabjosephat
ZAINAB ABDULLAH :
si muandamane
2026-09-25 11:58:44
1
imtiyaz_mohanmed
Imtiyaz Mohanmed :
Kauli zao maendeleo walipeni haki zaoo mbn marhubi eneo la marhem mpk leo hawajapavunja na
2026-09-25 02:52:48
4
binrshid
Bin Rshid :
nyie si CCM tulieni
2026-09-24 20:34:29
0
nawwar.sultwaan
nawwar sultwaan :
bumbwini ishamalizwa na wawekezaji halafu maendeleo maendeleo Gani mtu unapokuja kulichulua eneo lake halafu usinpe kitu mnakusudia nini serikali hi sio hakki
2026-09-25 04:51:59
2
aliyaseifali
aliyaseifali :
hawana cha kulipa sisi wamechukua shamba letu huko bumbwini dundua na wameshafanya wanavyotaka mpaka leo hatujalipwa kitu vhochote na tumeshakwenda kila kunapohusika lakini mpaka leo hatuna tulichopewa. lakini mungu atashughulika nao kwa dhulma wanazotufanyia faida wanapata wao sisi wanatuacha na dhiki
2026-09-24 18:35:27
4
juma..s..252
Suleiman Jr;;;% :
daaah mbn watu wengi wanalalamika tena ni watu wazima . daah 🥺
2026-09-24 18:15:09
4
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About