@ali_wisdom: Ijumaa Mubarak 🤍 Katika Ijumaa hii tukufu tunakuomba ewe Mola wetu, utusamehe madhambi yetu, utusafishe nyoyo zetu, utulinde na kila shari, utujalie afya, amani na riziki yenye baraka. Tufungulie milango ya kheri, tuyafanyie wepesi mambo yetu, na utupe nguvu ya kuvumilia kila tunachopitia. Aamiin Yaa Rabbal ‘Aalamiin. #creatorsearchinsights #viralvideo #jummamubarak