@zebra_restaurant_: AMERICAN CHIPS Hii Sasa ni ile package ya kishua....watoto wa kishua hii inawahusu...Ni Chips ambazo zimewekewa Paprika na mbwembwe nyingine, ambayo unapata na boneless chicken breast zilizopikwa kiutaalam wa Hali ya juu....na kuna secret Sauces zinawekwa humo ambazo ndo zinakamilisha utamu wote na kuleta ladha inayokukumbusha vacation yako ya marekani mwaka uleeee... BEI NI: 15,000 TU RATIBA: JUMANNE ,JUMATANO, ALHAMIS, IJUMAA, JUMAMOSI NA JUMAPILI TU NOTE: KWA DELIVERY PIA UTALIPIA DELIVERY PACKAGE 1,000 NAMBA ZA KUWEKA ODA NI: 0688 151783 0658 722393 0764 689647 0745 117440 WHATSAPP 0688 151783 TAFADHALI TUPIGIE, USITUME SMS ANGALIZO: ukiona tunachelewa kujibu whatsapp tafadhali tupigie kawaida kupata huduma yako kwa uharaka.
ZEBRA RESTAURANT
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 14:21:49 GMT
Music
Download
Comments
Laylaah :
wallah me cna subra yaaan ohoooo🤣🤣🤣🤣
2026-09-24 18:25:39
1
Edition🔐 :
[Sticker] Nahivoo nilivo jaaliw IGO ya haraka hehehe hatoamin ntakacho mfanyia😂😂😂
2026-09-24 16:06:47
1
mysala💕🔐🩷 :
Nitampigaaa hatoamin[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-24 15:49:26
92
Muel :
labda sio mimi na ipad yangu
2026-09-24 16:43:32
171
@smiley-anna🙂🌹 :
me siji wallah[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-24 18:31:35
0
@omegaprime tz :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]aaaaah mamaaaa yangu
2026-09-24 19:03:46
0
why always me 🤔 :
Hayo sio makengeza ni makusudi wallah 😂😂
2026-09-24 16:34:29
128
Chelsea Wendo :
Kama uko na laptop maliza mchezo😂😂😂
2026-09-24 17:07:21
63
Nadia chaz :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]nimecheka jamani
2026-09-24 16:45:56
3
pharider :
kinachofwata😂
2026-09-24 16:56:12
15
rajabuk04 :
mzabe kofi takatifu macho yakae sawa
2026-09-24 17:23:06
18
bro_kun :
izo Fahhhhhh🤣🤣
2026-09-24 18:39:19
0
IT'S ME CECE😊💋🦋 :
😂😂😂 na iki kisiran changu ntampig Mtu nimkalie🙌
2026-09-24 16:43:38
9
;;;'NSAMA 💯GUY;; 🔥🥷🇹🇿 :
kibao adi makengeza yanaisha
2026-09-25 12:20:55
0
shey :
ipad umesahau wapi bro
2026-09-24 18:59:53
1
firdaus :
😂😂😂😂😂😂😂 staki siji yaan Hela yangu inizungushe hivyo
2026-09-24 15:46:06
6
🦋qalby🦋 :
atoamin nitakachomfanya😂
2026-09-24 15:52:08
5
angel 😇 😚🥰 :
😅😅 hela yangu ndo initoe Jasho hvyo
2026-09-24 16:36:26
7
sica🧸 :
Hela yenyew ya mawazo alafu unanizungusha
2026-09-24 16:36:34
6
annie :
ningekubondaaa🤣🤣🤣
2026-09-24 16:52:26
3
Chimamy Muh :
mliocheka kwa sauti kama mim tujuane
2026-09-24 18:32:28
4
teo officially 🍿❤️ :
nitakuwa natembea na ipad sitaki utani kwenye kula 😂😂😂
2026-09-25 05:40:55
2
pink🥰 :
kama ivyo atujiiiiiiiii😅
2026-09-24 16:45:54
2
Peter bayyo :
atakul bonge la kofi na sitakul hiyo chakul [Tears of joy]
2026-09-24 20:19:14
0
Ikerlove🌸 :
Naondoka na asiniite😂😂 ntampa banz
2026-09-24 18:46:20
3
To see more videos from user @zebra_restaurant_, please go to the Tikwm
homepage.