@barack_lang: R.I.P MBEBA MAONO DR. DANIEL LEMA, TUNAMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA MAISHA YAKO NA KUSUDI LA MUNGU ULILOLITUMIKIA KWA UAMINIFU MKUBWA 🙌🏾😪 ✍🏾 Mkurugenzi wa Huduma ya Safina Redio Arusha, Mama Hellen Daniel Lema, anasikitika kutangaza kifo cha mume wake mpendwa, Dr. Daniel Lema, Muasisi wa Huduma ya Safina Redio Arusha 🇹🇿 Kilichotokea siku ya Jumatano, tarehe 23 Septemba 2026, katika Hospitali ya Selian (ALMC), Jijini Arusha. “Kwa maana Daudi, akiisha kulitumikia shauri la Mungu katika kizazi chake, alilala.” Matendo ya Mitume 13:36b Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana lihimidiwe.🙌🏾😭 #radiosafina #radiosafinaministry1 #Arusha #safina #DanielLema

barack_lang_kaaya
barack_lang_kaaya
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 14:35:28 GMT
18412
1548
78
19

Music

Download

Comments

annyponc2
Aries ♈. 🔥✨ :
rest in piece
2026-09-25 07:37:52
0
bavida6
Batilda Tesha :
may his soul rest in peace 🕊️
2026-09-24 21:32:15
0
bella.bella2110
Rose 🌹 :
nakumbuka kipindi cha saa11 asubuhi na saa7 mchana
2026-09-24 17:13:28
16
upendoshabany2
upendoshabany :
RIP Dr Lema🙏🥹🥹🥹
2026-09-24 18:54:56
0
geemom70
geemom💕👑 :
Mungu ampokee babaetu WA kiroho jaman uyu Mzee alifanya Arusha kila nyumba ikamtukuza Mungu safina iliimarisha wengi Sana kiroho 🕊️🕊️poleni Wana Arusha wenzangu na waumini wote WA Safina
2026-09-25 05:03:17
3
doreenshila26
Doreenshila26 :
Pumzika Kwa amani daddy💔😭
2026-09-25 06:58:58
1
merry.mallya6
Merry 💞 :
ulale salama Daniel Lema 😭😭😭
2026-09-24 14:44:09
0
user8175937346112
marytz@marie :
poleni sana wana safina wote katangulijya atujui anae fata kikubwa tukibiliye mikononi mwa mungu
2026-09-25 05:31:10
1
brendajoan
Brenda joan🤍💫 :
Rahaa ya milele aku angazie BWANA 🙏
2026-09-25 06:31:39
1
winniecrystalline785
It’s wny05 :
Rest in peace 🕊️🕊️. Poleni sana wanasafina.
2026-09-24 15:52:03
3
madamvee31
Vee Stores🎀🦋 :
Heri wafu wafuao katika bwana 🙏pumzika kwa Amani
2026-09-24 22:53:13
1
nashmollel202
nash beauty 😍 :
pumzika kwa Amani babu
2026-09-24 19:07:44
1
ivyne._mawicosmetics
Ivyne _mawicosmetics💄 :
Ni kwel alikuwa mbeba maono mkubwa sasa huyupo tena apumzike kwa aman🕊🕊
2026-09-24 18:02:01
3
user1808223342583
loveness :
pole San mung awatie nguvu katika wakat munguu Kam huu
2026-09-25 07:40:53
0
deborah_madiwa
deborah_madiwa :
Tunamshukuru Mungu kwa ajili ya Dr Lema. Mungu amempa maisha ambayo kila mtu ana kitu Cha kusimulia kwa ajili yake. poleni familia, poleni familia mzima ya redio safina. Bwana ametoa Bwana ametoa jina la Bwana libarikiwe.
2026-09-25 08:04:08
0
dearkaaya
daines kaaya :
pumzka kwa aman bab angu wakiroho
2026-09-25 07:56:47
0
_franklulu_
It's Lulu :
rest easy MOG ashukuriwe Mungu kwa maisha yako ya hapa duniani ulifanyika baraka sana tutaonana
2026-09-25 07:44:30
0
getrudemalleko5
Kido_1 ❤️ :
kifo ndio kitu pekee wanadamu atuwez kukwepa ulalle salama babu yetu dkt Lema
2026-09-24 17:52:00
2
gladymrema
👑Aries Girl ♈👑001💖 :
Umevipiga vita vilivyo vizuri Baba, Pumzika kwa Amani
2026-09-24 18:08:14
6
furaha999
Happy❤️ :
Apumzike kwa amani ametuachia historia nzuri sana 😭😭
2026-09-24 17:37:35
1
dayness92
Dayness 🥰🥰 :
Pole sana kaka mkubwa tutamkumbuka daima baba yetu 🕊️🕊️
2026-09-24 17:15:44
1
marthasumari38
Martha Sumari :
poleni sana
2026-09-25 07:58:01
0
latifha.mosha
LATIFHA MOSHA :
tutakumbukuka Sana bab ety 😭😭😭😭😭😭
2026-09-25 07:23:15
0
ligolajunior
ligolajunior :
Mwenyexi Mungu ampumzishe
2026-09-25 07:10:42
0
kenkel26
𐍃I𐌡O :
2026-09-25 07:36:22
0
To see more videos from user @barack_lang, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About