uyoo wajina mbaraka ila ameniangusha[Laugh approved]
2026-09-24 20:35:35
0
user2088453038591 :
Nabii Isa (A.S) na Nabii Yahya (A.S)
2026-09-24 16:25:43
38
💦J'FÕFÃÑÃ💦 :
Mi Nabii Issa a.s n nabii Yahya a.s kam unaamini jibu letu tia like apa
2026-09-25 02:32:02
16
careen❤️ :
Nabii Yahya a.s
Issa a.s
2026-09-24 18:58:02
1
Abuu, #1o2 :
Yahya
Issa
2026-09-24 22:25:38
0
President Of 214 🫡+51 :
Ndiyo, ndugu yangu. Kati ya Mitume 25 waliotajwa kwa majina katika Qur’an, wawili ambao mara nyingi hutajwa kuwa hawakuoa ni:
Nabii Yahya عليه السلام — Yahya ibn Zakariyya. Qur’an inamueleza kwa sifa “حَصُورًا (ḥaṣūran)”, inayohusishwa na kujiepusha na wanawake. �
Islamweb +1
Nabii ‘Isa عليه السلام — Yesu mwana wa Maryam. Hakuna dalili sahihi inayothibitisha kwamba alioa. �
IslamQA +1
Lakini kuna jambo muhimu: Si sahihi kusema kwa uhakika kabisa kwamba wote wawili hawakuoa, kwa sababu hakuna Hadith sahihi iliyo wazi inayothibitisha hali hiyo kwa wote wawili. Wanazuoni wametofautiana hasa kuhusu Yahya عليه السلام. �
IslamQA +1
2026-09-24 15:57:10
13
mdogo lunya.gmail.com :
ISS yahyah
2026-09-24 16:05:21
1
Bajey :
nabii Issa mariam na yahya
2026-09-24 16:13:36
8
dullah nyau mtengwa :
issa na Yahya
2026-09-24 15:38:16
6
salama🥰 :
nabii isa na yusufu
2026-09-24 17:39:31
3
mmisri Mmoja1 :
issa nazakaria
2026-09-24 15:33:43
0
user6614062239322 :
NABII ISSA NA NABII YAHYA
2026-09-25 06:23:17
1
ally J :
nabii issa na zacharia
2026-09-24 15:36:36
2
MARYAM MARTIN 💥 :
sio mitume ni nabii shekh
2026-09-24 20:15:08
0
khabintih🧕❤️🔐💫💫 :
nabii Issa na yahaya
2026-09-24 17:38:04
4
Foung PH :
walii wa Bi Hawa alikuwa nani?
2026-09-25 04:24:16
1
mbegu :
maashallah taakbirrr allahu akbar saallahu aley wasalam alhamdullah
2026-09-24 22:48:06
1
sir kichaura :
ni Issa bin Mariam na Yahaya
2026-09-24 16:02:04
5
hidekitojo.com :
issa as na mussa as
2026-09-25 05:39:13
1
Mwanamkuu Jumaa :
nabii issa na yahya
2026-09-24 16:01:48
2
Jibrilomar :
issa na Idris
2026-09-24 15:34:21
2
user6744141769790 :
nabii ISSA n adam
2026-09-24 16:20:25
1
Mwanamgeni Ramadan :
mashallah
2026-09-24 16:35:59
0
f.s.alameri :
Yahya wa issa
2026-09-24 16:11:06
1
To see more videos from user @mubaraka_almakhzumiyy, please go to the Tikwm
homepage.