Kupe baba alikua anajua Kuna chama ya kijama wake sifuna atatumia Huu raisi asante lord
2026-09-24 15:34:39
24
IT'S OBED🇰🇪🇺🇸🇺🇸✍️ :
amerudi guys ?? ama tumeenda 😂😂
2026-09-24 17:10:08
8
solomonmombo :
sifunated with udp
2026-09-24 17:03:58
5
PINKY PINKY 🇰🇪 :
mambo ndo hayo sasa #SisiniSifuna🥰
2026-09-24 16:47:06
10
kakamega gossip online :
Color tuchukuwe hii maroon
2026-09-24 17:37:07
5
lilie :
hii nayo ilibarikiwa na Baba Rao sio kama Tialala Mumbai Party 😅
2026-09-24 18:06:51
8
Aggy Lopez :
tukisema sifuna Ndio ako na spirit ya baba watu wanakataa ona vile amezungushwa kupewa chama akapata Ile baba alitaja
2026-09-24 16:23:01
7
Linz :
wakenya mnapenda kutafuta ruto maneno 😂😂😂
2026-09-24 18:36:25
3
DCI :
orengo umeona
2026-09-24 16:30:06
5
Felix :
raisi asante lord
2026-09-24 16:05:25
1
jacque lwane :
wow baba
2026-09-24 16:16:11
1
HezeBFX :
UDP...Kazi bila Wizi😜😜😜
2026-09-24 19:06:48
1
Millicent chebby :
Igwee!☝️☝️☝️☝️☝️
2026-09-24 17:12:11
1
Ken Mike :
sifuna the 6th
2026-09-24 16:20:53
1
Albert Geoffrey Bukoma :
🥰
2026-09-25 04:46:57
0
vihiga ttc gossips 🇰🇪✏️ :
😂😂😂 fire 🔥
2026-09-24 17:01:57
0
Getray Muka :
baba hakutaja mambo ya Linda mwananchi na umombozi
2026-09-24 23:03:23
0
grace Boss lady :
hayaaa😂😂😂 wako wapi wale watu walikua wanasema sifuna ni mslow, he is slow but sure 😂😂😂 sikama wale wengine wako na kiherehere na wamekwa kwa njia sai🤣🤣🤣🤣sisi ndio sifuna forever
2026-09-24 20:44:55
0
empress Ebatete🇧🇴🇧🇴 :
aki mungu si uturudishie huyu mzee kidogo tu hata masaa mawili!!😭😭😭
2026-09-25 06:40:34
0
Catherine osendi :
kumbe hata hiyo siku H E alikua?walidhani hana chama?
2026-09-25 09:13:14
0
bellawafula981 :
secret weapon ilikuaa kumbee
2026-09-25 06:22:12
0
evalyneauma838 :
Baba ameshamaliza maneno
2026-09-24 17:00:43
0
To see more videos from user @osewemfalmeodinga, please go to the Tikwm
homepage.