@nabiry42: #usa🇺🇸 #kongotiktok🇨🇩 #kenya

doktnabiry1 tanzania
doktnabiry1 tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 14:52:50 GMT
37588
3231
282
145

Music

Download

Comments

reen1234568
reen :
your phone is 51%right😁
2026-09-27 08:39:37
0
claude7860
claude :
bro Nikwl kbs
2026-09-28 15:31:07
0
daxfitnesstrainer
Dax trainer :
Ooooooh my GWADOOOO🥺🥺
2026-09-28 09:05:16
0
bomanisaada
saada bomani :
Naomba tulale jamanii mapenziii yanaumaa yanauma yanauma yanauma yanauma yanauma yanauma yanaumaaa😭😭ohhh my gwadoooo☺️☺️
2026-09-25 20:41:03
70
queen.gendy
mama Flo :
Why 😭😭😭😅 Mimi hata sai nalia sijaheal
2026-09-26 19:38:48
1
mary.john2861
mother jonathan💕💕 :
daaah yanauma sana kama mim sina bahati kabisa ngoja nitafute hela😭
2026-09-24 20:40:58
77
adela.james5
Adela James :
Ila Mimi kwasasa nitaenda kumloga mtu maana wanazinguwa sana mtu unalipendalakini dah 😅
2026-09-26 06:46:32
23
adyce4
@joyce :
mm wangu ameoa kabisa 😭😭
2026-09-27 16:44:53
2
lizybreezy1
just a girl who loves reggae :
zamani nilikuwa nashangaa watu wanaojiua kisa mapenzi, alooooo siku nilipopigwa na tukio 😂😂😂😂siwalaumu kabisa
2026-09-26 05:12:38
30
cyprianmtoo
Cyprianmtoo87 :
bro mapenzi yanauma sana sasa mwenzio nimemfumania mwanamke wangu week mbili kabla ya harusi mbaya zaidi kalala na ndugu yangu tena alikuw mwanakamati broo kama ujawai kupitia maumivu ya mapenzi mwambie Mungu asikupitishe uko 😭
2026-09-25 19:22:19
17
loveneeegmal1
🥰 :
me hayaumiii wajamaniii au nina moyo wachuma 😂 au ndo zina bondwaa tuuu
2026-09-25 09:42:45
3
mariamsasha27
Mam utam🤩 :
tena asikwambie mtu ww yasikie tu ani mimi asaiv ata isia ata amu ya yendo sina kbs ni mienz 9 sasa sijafanya mapenz nyeng zenyew sina kbs naomben ushaur wenu nifanyaj😥😥
2026-09-25 15:04:31
12
rainfrida0
Rainfrida💕🥰🦋✈️⚖️ :
MUNGU ANAJUA TUNACHOKIPITIA🥺🥺
2026-09-26 03:12:12
8
bundesligaboy6
bundesligaboy6 :
Kupenda kupita kiasi ni Matumizi mabaya y M0y0💔🤔
2026-09-27 10:29:33
3
tazancr7
Ñabêél_47 :
brother mapenzi yana uma haswa umpende asie jali upendo wako kwake
2026-09-26 07:55:00
4
asmene84
🎀ياسمين ☪️ 🎀 :
ukitaka mapenzi yasikutese usiyaike kipaumbele yaeke kama ziada2 yaani yawepo saw yasiwepo saw focus na kutfta ela
2026-09-26 05:19:59
8
zarambebs
Suleiga sakina 💯❣️🇸🇦🇰🇪 :
nilishawai 🙆😭💔 mpaka tukapanga future,,SEMA madharau, matusi kiburi na blue tick ukimpingia hashiki😳😳 kumbe alirundiana na ex wake na hujui 😭😩 long distance relationship poooooo 😭💔 I hate relationship 🙆😭
2026-09-26 07:53:50
6
anastazia.mganga
Anastazia Mganga :
sana lakin me nimekua sugu siumii kabisa sahivi nahangaika mtafuta MUNGU achaneni na mapenzi tutafuteni kifochema tafadhar maana siku zimewadia alizo sema kristo kua atarudi
2026-09-25 10:15:21
7
monca655
🧃🍿mnc✈️🩺🏖️☑️ :
matendo yake yanataka yanifanye nimupende kinafki 😂😂sasa
2026-09-26 20:29:50
2
hayishaaisha98
Ishaaal001🇸🇴 :
Americana nachukia saaana kupenda😢😢
2026-09-26 07:02:04
1
rinah8612
Rinah♥️🌹 :
💔💔😢😭😭😭😭daaah sina hata la kusema but 🙌🙌😭😭😢😢💔💔💔
2026-09-25 20:13:28
4
novadimple2
Aneth 🦋🦋 :
yaan mm Sina hamu ya mahusiano tena
2026-09-27 04:34:17
0
salomejumanne837
SMJ GOODLACKY 🥰🥰 sj4@@ :
Naomba mtu mmoja aniambie kwan kumpenda mtu lazima sex?
2026-09-25 15:21:37
1
makanda.mlenda
Makanda Mlenda :
mimi nimeshindwa ku mov on mwaka wa 3 sasa tena baatimbaya nilimpenda mke wangu mama wa watoto wangu[Crying][Crying]
2026-09-27 12:24:33
0
last.born50525
Jacqueline :
Heee watu wanasema hawaumi na hawana hisia mbona me yananiumiza ivo au me ndo mgeni jaman 😭😭
2026-09-26 04:08:06
3
To see more videos from user @nabiry42, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About