@sportstip24: 🔥🔥 Timu inapotaka kukaba Miquissone ni zaidi ya Pacome, speed pia anamzidi, Al Ahly wanamjua! ⚽⚡ Mjadala umezidi kunoga kwenye soka la Bongo! Wewe unaonaje uwezo wa hawa mastori wawili uwanjani? Dondosha maoni yako hapa chini! 👇 📱 Fuatilia habari zaidi hapa: Instagram: @sportstip24_ na @bettingbrain24 Tovuti Rasmi: sportstip24.com #MirajiMaramoja #Sportstip24 #BettingBrain24 #Miquissone #Pacome #AlAhly #SokaLaBongo #Kijiweni
sportstip24
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 15:19:33 GMT
Music
Download
Comments
Mwana wa mfalme :
me kwangu naona miquissone na pacome wote wamecheza mpira mkubwa, ila uyu libaseeeee Gueye ,me naona ni hatariii zaidi
2026-09-24 20:05:00
2
Cloudinho jr :
je lali bwaliya
2026-09-24 18:13:11
1
Vinkel :
Lui achana nae
2026-09-25 06:24:31
0
mike :
Luis ni habar nyengine bn hakuna Kam yeye till now Mzee kubal kataa
2026-09-24 19:18:53
2
Gunda01 :
luis alibeba kijiji kizima anakipeleka kweny mkutano mnaikumbuka mech hiyo
2026-09-25 06:13:49
0
Mussa Ramadhan :
😂😂😂😂 miraji bhn
2026-09-25 04:29:16
0
Kitego Jr :
mm yanga ila miquissone uyo kiumbe acha kabisa uyo mtu pacome amuwez kwenye ubora wake miquissone hatari sana
2026-09-24 19:12:08
1
nicholaskapinga93 :
#luismiquison
2026-09-24 22:35:35
0
kijili Msike :
miquissone kashindikana yule mtu
2026-09-24 23:37:29
0
Evance jr :
jama namkubal.sana.wa.msimbaz
2026-09-24 22:35:07
0
HUNTER BOE 26 KIPAJI :
luis alikuwa motoo sana wee🤣
2026-09-25 03:07:10
0
SAVIMBI :
ilikua dakika ya 11 hyo asikwambie mtu babuuuu
2026-09-24 17:23:33
0
Dr KAPAMA :
lek kaamia kwwny mapajaa mabega yapumzikee 😂😂😂
2026-09-24 15:34:26
1
billysumbe,Gods favoured :
eng anataka kumuiba Luis kabla hajarudi , Chama atakuwa bor ka kuliko huyu atawalamba
2026-09-24 20:12:32
0
Aziru Buluhani :
🥰🥰🥰
2026-09-24 19:01:32
0
Bathalomew Ibrahim :
[Like][Like][Like]
2026-09-24 21:34:22
0
To see more videos from user @sportstip24, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.