@w.a.m.i.d.e.k.o_: Wanavurugwa hatari😂😂😂🙌🏻#viralvideo #viral

w.a.m.i.d.e.k.o_
w.a.m.i.d.e.k.o_
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 15:26:12 GMT
42930
2773
194
163

Music

Download

Comments

lizybreezy1
just a girl who loves reggae :
na men with uniform,ukimkataa wanaumia sana 😂
2026-09-25 15:40:35
5
peace7232
Peacemaker 🤍 :
Starehe zinachosha 😂😂😂
2026-09-25 07:56:13
92
malkia049
Vee🦋⚘🦋 :
cjui huwa wanajikuta wakina nan😂😂😂
2026-09-25 08:06:14
48
aisha.micharlaish
rehema :
mim juz nilikua naenda dukan mkak kqsimam na garii kashusha kioo dad mambo hajaamin macho yake nimempita kam simuon 😂..ataadithia mwenzake hahahhaha
2026-09-25 11:57:09
29
iam_futur
future :
mnatesa hadi wenye pesa aisee kweli no one is above the program 😂
2026-09-25 10:26:34
17
jack.ezekia4
Jack Ezekia :
ndyoooo
2026-09-25 16:40:42
0
herself808
. :
Mimi nlivomkataa akasema maisha ang nq yake n mbingu nq aridh nkamwambia haya malaika
2026-09-25 05:53:19
32
ninniecassieninni
ninniecassieninnie :
Mm alikuwa ana prado kali elewa kali alafu ana nyumba kali na ni kijana anafanya kazi ofisi nzuri nilivyomkataa akaniblock nilimuonja kwanza nilivyomuona sio mtamu nikaacha kumtext kanitafuta weeeh kaona huyu dada vp mara hunitaki tena mm nina kila kitu nikamjibu sijakuelewa mweeh akaniblock 😅😅😅😅
2026-09-25 14:02:48
9
joyceo935
💕Joyceeh 💞 :
jmn huyu xx😂😂
2026-09-25 18:02:06
2
caramelnana21
she’s like rwandese🇷🇼🦋 :
The Audacity😂😂😂🙌🏾
2026-09-25 16:51:33
5
.gee6955
🦋 Gee❤️ :
maraa mm cjawahi tongoza mtu akanikataa nakushangaa we😂😏😏
2026-09-25 10:12:00
5
mageti24
Saida🧕🏻 :
Alafu kuna huyo kaka ananiambiag we dada una shida gani kila akituma hela hata iwe nying kias gani narudisha muamal 😁
2026-09-25 17:19:25
5
missrinie
Ms rinie🫧🦋 :
Na siko tayari kushtua pesa mm😂😂
2026-09-25 06:54:51
7
unscathed._girl_1
unscathed _girl_117 :
Wanadhani wao Ni mungu watu 😁🙌🏽
2026-09-25 10:09:14
9
misses848
Parlp girl ❤️🔐 :
Yaani mamaeee ndo michezo yangu ila akijaa tawireeee
2026-09-24 20:45:31
9
killjonc.store
Killjonc Store :
sa hv kwel mm niwakumwita gal kwa jetour yang😂 anambia enda pigia mluzi bibi ako 😒🙉
2026-09-25 20:40:24
2
sashaquensi
ms sasha :
sijui kwann😅😅😅
2026-09-25 13:11:24
3
naiyon_87
Naiyon_🌷 :
Na hujiuliza kasoro yake ni nn na huku ananuka mdomo na pesa zake 😂😂🙌
2026-09-25 18:59:43
1
47ken0
47ken :
and am toxic nakitaka sababu akinitaki
2026-09-24 20:38:25
5
vala_wearers
Butterfly :
2026-09-25 10:47:00
4
user9597579081815
Tunaishi mara moja :
Sasa mnataka nn😅
2026-09-25 14:39:26
2
wonder4013
Wonder 💞 :
si ndiooo
2026-09-25 12:00:07
2
ms_migo27
ms_migo27💜 :
Wanamatusi sanaa😂😂😂
2026-09-25 18:02:06
1
irene.mmassy62
Irene Mmassy :
😂😂😂😂😂me nilimkataaa mtuu anakazi yakuulizaa kwani nipo nipoje yaji ilimuumaa mbayaaa atajuaa bn yeye so mungu
2026-09-25 10:24:39
2
..briri
𝒷🐆🫧 :
😂mtu kakosea anataka abembelezwe yeye nevaaaa
2026-09-25 16:29:32
3
To see more videos from user @w.a.m.i.d.e.k.o_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About