ndo shida yakulazimisha mwanaume akuoe wakati hakupendi✌️
2026-09-24 17:52:23
375
fatma mashui :
Jina linajieleza😀😀😀Hassan huyu huyu Hassan mtoto wa jirani😀😀😀😀
2026-09-24 17:29:13
218
Mama wa wanang😘 :
picha limeanzia ukumbin[Tears of joy]
2026-09-24 17:07:52
66
Madam Speaker. :
red flag 📌
2026-09-24 20:21:02
90
mama 🎁 💝 :
huyu atakuwa first born huy manake hatunaga kupritand🥰🥰🥰
2026-09-24 17:45:19
66
Kingi Jr :
song name please
2026-09-27 05:23:48
0
me :
mtu unanuniwa kabra ya kuingia kwenye ndoa ukiingia si atari jmn
2026-09-24 19:06:04
68
Nas :
real man
hakutaka kficha hasira ili awafurahishe watu
hii ndo maana halisi ya black and white
2026-09-24 17:10:49
53
𝗝𝗔𝗡𝗞𝗦&𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔𝗡𝗭𝗨𝗥i :
hii ndoa changamoto
2026-09-24 17:15:41
25
🐰@ mamu🇹🇿 :
Hiyo tayar changamoto😁😁😁
2026-09-24 17:00:38
11
rehemaissa562 :
ngojeni niwape story ya Hassan 😂😂
2026-09-24 19:52:45
5
🥰😍🔐 :
ila Hassan au ni last born 😳
2026-09-25 09:48:34
8
@cute :
😂😂 hapo sioni ndoa huko mbele
2026-09-25 16:20:21
1
Domitila athumani :
Mmh sasa hapo bd wakienda kuishi wot itakujae
2026-09-24 16:38:59
10
JNR :
red flags
2026-09-25 20:32:34
0
Caty Deo :
kwan alikuwa na harak gan Baad ya hapo 🤣🤣
2026-09-24 17:54:57
9
Mama muu collection :
Mm binafs ninavyojijua sizan Kama hyu mwanaume ningeishi nae kwanza anasifa pili adabu hana hv haoni haya watu wote wamekuja kwa ajili yake. So hata Kama bi harus kachelewa yy angecool down zen angesubir vtu viishe
2026-09-25 13:18:37
6
its_shifra :
" nilikua sijamjua vizur kipindi kile"
sign zilikuepo ukapuuza
2026-09-24 19:49:54
7
jmbogomadin1 :
Sasa kwann yy achelewe
2026-09-24 15:40:12
5
Baby2 5 :
kwani hawa wanaoulizia jina la nyimbo inakuaje? wao kutafuta izo nyimbo hawajui au ?
2026-09-26 18:22:33
2
Mrs muuh❤️ :
kwan ni last born au
2026-09-25 11:35:48
1
lilian rusimbi :
Mbn humaliz story jmn 😂
2026-09-25 08:14:18
2
Ray macake :
Mungu mpe uvumilivu bibi harusi
2026-09-26 03:01:48
4
pink🥰 :
huyu hana tofauti na hassan wangu ndio tabia zao hawo 😊
2026-09-25 10:51:26
6
zau :
mmmh ndoa ikimaliza mwaka sijui 😂
2026-09-25 08:59:52
3
To see more videos from user @frankmanyilizu1, please go to the Tikwm
homepage.