@jiggerboller: 🤲🏼🤲🏼😃

JIGGER BOLLER
JIGGER BOLLER
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 24 September 2026 15:31:14 GMT
519658
65504
1292
2694

Music

Download

Comments

jey23104
Jey💧 :
Ewe mwenyezimungu nikutanishe na mume wangu popote alipo 🤲
2026-09-24 21:04:22
961
allyshael0
Ally Shael :
wewe unao lini
2026-09-24 19:31:22
212
stopahtz
akramally443 :
Mimi kuoa naogopa mpka Leo af umri unaenda sijuh nifanyaje duu
2026-09-24 23:26:05
327
medibani1
medibani :
day 112 of asking jigger to workout
2026-09-24 17:45:56
13
user9350066129194
mind your business 😏 :
Allahumma ameen 🥺 na sisi tunaosubr Allah awape rizki za halal na mapem ili wajekutuchkua kwetu kwa halal inshallah 🥹😭
2026-09-24 20:42:52
56
mamy.rey95
mamy rey 🥰 :
Amin inshallah mungu nijalie future husband alipo aje wallah
2026-09-25 03:12:45
30
charterludmil
Lowassa :
Niombeeni dua nami naoa mwezi wa 12
2026-09-26 07:24:59
56
officialndagula1
Official ndagula :
ijumaa ijayo hii nyimbo taicheza sana🥰inshallah
2026-09-26 06:34:57
76
naiyraah
khadie❤ :
jaman me kila siku waja wachumba ambao wanawake zao au alishaoa na akaacha ana mtoto nshakataa mapka nmechoka sasaiv kaja mwengne ana wake wawili nishaurini vipenzi🥺🥺🥺
2026-09-25 18:13:02
17
faithful_word_02
F@!th 🤍 :
walio wengi lakini wanapenda harusi lakini sio ndoa 😕
2026-09-24 20:47:32
67
shanaiza_28
DA~SHEY🥃✔️ :
jamani atokee m2 anioe aniondolee na maneno machafu ya walimweng mana kila m2 ana niambia wewe hutokuja kuolew bc huwa nakata tamaaa mimi mana 🥺🥺🥺
2026-09-27 14:02:01
26
aneemy6
🎀 𝒜𝓃ℯℯ𝓂 ✧ :
Allah anifanyie wepesi naogopa wallah😂
2026-09-24 20:09:55
71
rahmayassin698
💦 Rahm 🧕 :
yaan sijui mim taolew n nani but nikisikia ndoa y mtu napat raha🤣 MUNGU nionekanie mm inshallah 🙏
2026-09-25 16:20:04
22
zawadi1396
jasmin :
inshaallah na m ntapata mwanaume mwenye kheri na mm
2026-09-27 06:11:51
19
cleanusedtuktuks
CLEAN USED TUK-TUKS :
Alafu kuna mimi sijapata wa kumuoa mpaka sasa natimiza miaka 30 mamangu anataka kama sai nioe 🙏
2026-09-26 06:18:38
5
jeurifamily.com
@jeurifamily.com :
imeisha hiyo kaka😎
2026-09-24 17:24:29
18
longlivewaleed
Waleed :
watangulie watuambie hizo baraka tuko apa[Tears of joy]
2026-09-24 16:31:43
37
salm89058
🌟salm💕💕 :
Video za ndoa zimejaa kwenye fyp yangu
2026-09-26 22:48:27
9
erickmilanzi655
Askofu Erc💫ØP🚜✨ :
Japo me, mkristo ila hii Qaswida naikubal mno🎊, inaitwaje hii
2026-09-25 15:07:38
11
min_1awwel_dakika
DYB-SHAZ :
Ameen
2026-09-24 16:07:38
5
man_kiba
Abdul Rahman :
mim.napokea mialiko kokote nafika.mchango.wangu kula tu 😁
2026-09-25 11:12:30
5
safaa.henna
Safaa henna :
😂mbona wanitia raha.... umenifanya niwaze mbali sn... rabbana takabbal minna wa minkum
2026-09-25 16:37:13
6
free.man9829
free man :
vp chai ya maziwa ipo?😂😂😂
2026-09-26 18:58:08
5
userl7ah7xnvhg
sweet baby ❤️❤️ :
iwee her jamn na mm niolewe inshallah ❤️
2026-09-27 21:41:38
8
To see more videos from user @jiggerboller, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About