@peter_waziri: jifunze namna ya kujiokoa ukigonga nguzo ya umeme na gari

peter waziri
peter waziri
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 16:11:01 GMT
22986
931
47
37

Music

Download

Comments

sayukisheshushi27
Sayuki Sheshushi :
hapo ni kama waya zimegusa chini
2026-09-24 19:46:52
1
willymjukuu505
Willy Mjukuu :
Nguzo tunaziona mkuu tupe maelekezo ya kurudisha point zetu bc nguzo hatuna shida nazoh
2026-09-25 06:39:27
1
mtongahasheem
mtonga hasheem :
kamanda iyo elim ya kushuka ndo muhimu kabisa uliyoitoa apo ila kupiga 114 wanaweza kuja asubuh
2026-09-24 19:33:03
2
mansurykhani
mansurykhani :
je mlango ukiwa umefunga ni namna gani ya kufungua
2026-09-24 20:18:26
1
gee_king5
GEE_KING TZ :
kamanda mda uo mlango haupo wazi ...
2026-09-24 23:03:40
1
wilbroad.athanas
wilbrod athanas :
touch and step potential, ndio kitu inabidi uongelee zaidi kitaalam kwanini usiguse Gari au kwanini hutakiwi kupiga hatua ndefu???
2026-09-24 20:18:33
1
armandopereira12
👑⚜️𝑾𝑰𝑳𝑬𝑾𝑰𝑳𝑬12⚜️👑 :
hapa unaona kabisa ..loveness wa jua kali anakufa hapa
2026-09-24 20:10:44
2
mr.umeme
Mr umeme :
hiyo theory lakin bro na hiyo inaendan na voltage level, sio 33kv ufany hivyo hutoboi
2026-09-24 21:31:32
1
kimbys3
KIMBY3 :
asante kamanda
2026-09-24 17:26:24
3
neemabrton
Queen👑 ney brton❤️ :
afande nakupenda katika bwana nakupenda sana 😘😘😘
2026-09-24 23:31:49
1
user3576154326158
user3576154326158 :
na kama umefunga mlango utafanyaje
2026-09-25 14:11:00
1
babawahamisi
baba wa hamisi :
asa kwenye IST tutatoka kweli kuruka tutarukaje
2026-09-25 06:13:42
1
egmayamoses
Egmaya Moses :
mlango unafunguaje
2026-09-25 13:10:04
1
mussa.sadala0
Mussa Sadala :
apo sijaelewa mlango unafunguaje Sasa mahana ume Sema usiguse bod na batani yamlango ipo kwenye bod
2026-09-25 05:24:45
1
james.tz936
James tz :
sasa unasema ukiwa ushafungua malango ungeadisia kwanza unaazeje kufumgua mlongo na unagusa wap
2026-09-25 07:33:34
1
saidikurwa7
papa p :
2026-09-24 20:01:22
2
sosovelemalipula
sosovele malipula :
sawa ila ungeanzia kabla ujafungua mlang . AU UKIGONGA MLANGO UTAFUNGUKA?
2026-09-24 21:59:26
1
goldenhimself_
golden_himself_ :
Afande naomba uelekeze ukiwa nimelewa naji nasuaje
2026-09-24 22:45:00
1
royalsonnyantaba
ROYAL SON NYANTABA :
2026-09-25 04:04:21
1
wisepetii
kikoko :
tunakuhitaji dodoma ndo panakufaa kijana umafanya kazi kubwa sana
2026-09-26 18:32:32
0
user6524708306144
user6524708306144 :
mlango umefungua sangap
2026-09-26 22:02:19
0
alphajoseph26
mr mbeya :
Tuelekeze namna ya kufungua mlango pindi upo ndani then hizo hatua ndo zifatwe
2026-09-27 08:45:03
0
choi_.49
Choi :
Sababu ya kutembea hivyo ni kuzuia potential difference. Kwa sababu kwenye kitovu cha Umeme hutengeneza radius (kipenyo) chenye nguvu ya Umeme tofauti kutoka katika kitovu cha umeme. Hivyo ukipiga hatua Una nafasi kubwa sana ya kukanyaga point A yenye 200v na point B yenye 170v ambapo hapo inasababisha utofauti wa upitishaji wa umeme katika mwili wako na kusababisha kupata mshtuko wa umeme (electrical shock).
2026-09-26 12:57:23
1
kingog574
👑 KING OG👑 :
wakati huo mlango umejifungua wentewe au
2026-09-24 21:56:44
1
To see more videos from user @peter_waziri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About