Twaiba na jike lake mwenyewe mjomba sije akataga[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved] team twaiba hoyeeeee
2026-10-06 12:32:39
0
yamndile :
kitu pekee siwezi kutokufanya ni kutolike video zako
2026-09-24 16:56:15
80
Umi jey :
uyu mwengine nimrembo
2026-09-24 17:09:25
61
Abdul Shariff :
ii ni sehemu gani dada twaiba
2026-09-24 19:05:46
10
Mishu :
wamedamshi mashallah Allah amueke twaiba
2026-09-24 17:03:03
8
albeity :
mjomba is very calm 🥰
2026-09-24 16:37:00
6
cicahunique :
Da Twaiba Mungu akutunze kwaajili yao🥰
2026-09-24 18:03:59
14
SALLY TEI :
I love jike kapendeza more love from kenya 🇰🇪
2026-09-25 08:13:39
0
💅🦋fetkatoto 🦋🥰 :
Allah akufanyie wepesi Allah akujalie umri mrefu insha'Allah 🤲 una moyo mzuri mashaallah 🥰
2026-09-24 16:36:00
27
Obadho Jowuoyo Okcha :
mjomba ni mama means what
2026-10-01 03:17:03
0
ladymamuni❣️ :
apa ni wap...niende
2026-09-25 06:39:21
1
Efra Elias :
ni wapi apo jaman
2026-09-24 19:31:12
0
Mamy Yahaya :
jaman lulu nimemmiss hatar
2026-09-24 22:37:31
1
Asha Mustapha :
Fwaiba hakika Tunakuombea kwa Mwenyezimungu akujalie riziki zaidi na.maisha marefu na watoto wako.hao kwa faraja.unazowapa na upendo toka katika moyo🥰🥰
2026-10-01 06:48:36
1
Neemah🌹 :
Yn unajua kunipa laha na wanao 🥰
2026-09-30 05:49:57
1
Janeth :
lulu nilikua na miss jamn
2026-09-25 10:07:49
1
Feliciana Costantino :
waoooooow ,wamependeza
2026-09-24 20:57:02
1
Aisha Aly :
niliwamiss mlipotelea wap vipenz
2026-09-25 19:04:04
2
Gur.l_.20 :
Aunt mashallah mungu akubarik na akufungulie kila laheri na akulinde na wabaya
2026-10-01 20:30:15
1
@ its_Asya :
Masha Allah ❤️❤️❣️
2026-09-24 18:50:39
1
chubally :
mashalllah wamependez sana wallah ant twaiba Allah akujaalie moy mzur zaid na zaidi wa kuwez kuwashuhulikia na kuwasaidia hawa watoto na azid kukukunjulia rizk zako milele hap dunian na kesho akhera
2026-09-24 23:59:54
3
Zamzam_Othamn♥️ :
Mashaallah hasbiaallah mm napenda wallah Da twaiba usipungukiwe milele walah♥️🤲🏼🤲🏼🤲🏼
2026-09-24 21:01:40
3
Zeytun HaiderAli :
Ohhh so cute 🥰 they look so nice and happy mashalla 👍 Allah bless you
2026-09-25 06:58:12
2
TWAIBA_CLASSIC :
Jamani nawashukuru dua zenu
2026-09-25 02:47:40
4
monere🥰🥰 :
mjombo ni mtaratibu saana aki nmpenda🥰
2026-09-24 17:02:22
4
To see more videos from user @twaiba_classic, please go to the Tikwm
homepage.