@pipytida.officially:

Pipytida officially
Pipytida officially
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 17:12:22 GMT
134376
9113
450
375

Music

Download

Comments

salmamauki5
salma💕mauki :
nina Mme wangu na nina Mme wa mtu
2026-09-24 20:51:57
48
abbygirl333
abby :
sjaingia ndoa ya mtu me mwanaume wake ndo kanifata akanileta apo kwenye ndoa Yao me sio mchepuko lkn
2026-09-24 17:42:28
167
fedhag
Officialyfey :
nasali kila siku waachane niolewe mimi[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]mungu sikikiya kiliyo changu[Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-25 11:23:27
0
deeeyess
DeeEyes♍️ :
Nayeye aniombee san Nipate wang😂😂😂
2026-09-24 18:24:49
82
leocadiaharuna
Haroun doughter🥰 :
Wao ndio wanatufata bhana sisi hatuna shida 😂😂
2026-09-24 18:06:09
22
queensasha257
Queen sailen :
Uyu nae vip wanetu 🤣
2026-09-25 11:55:13
16
janet_g226
Janet ❤️ :
Kuna mda shetan anakuwaga malaikaa 😅😅
2026-09-24 18:11:49
49
coin_boe
CØIÑ BŐË💦🎇 :
tatizo tuki comment muna view profile 😂
2026-09-24 17:18:44
12
victoriamallya
Victoria Mallya :
Huyo mke wake ndo aniombee nipate wangu nimuachie wake
2026-09-25 04:43:38
10
madamlenny5
Madam Lenny❤🤍 :
UNGETULIA TYUU KWANZA BEBE[Heartwarming]
2026-09-25 14:29:56
0
magrethkihwele33
maggie :
uwe unawakumbusha mara kwa mara ...asante da pipy nishusheee
2026-09-24 17:34:51
25
user6679339434043
suzzy talibo :
kwenye biblia kuna mtu alikuwa na wanawake zaid ya kumi yani niache kumuomba mungu waachane kabisa alaf nimuombe sijui nini labda sio mimi🤣🤣🤣🤣
2026-09-24 17:51:55
19
808shm
Abdul :
mume wa mtu enyewe ndo mimi😁
2026-09-25 09:36:48
6
clpanah
càlpanah :
wwewweeeeee
2026-09-25 08:39:59
0
linahwiso8
linahwiso :
kama sulemani alikuwa na wake 700 na alikuwa Baba wa Imani 🤣🤣Mimi ni nani
2026-09-24 18:03:37
8
hawaali019
Dr hawa 👩🏻‍⚕️ :
Asante
2026-09-25 08:06:52
0
josephinenzali
Nzaliphine :
Mwingineee
2026-09-24 20:53:50
0
antiacharles381
Antia Charles :
exactly
2026-09-24 18:16:29
0
user9532213651812
user9532213651812 :
Sina muda wa kuomba mie si yeye ndo alinitaka🤣🤣🤣🤣
2026-09-25 11:21:46
2
habbylove27
Mama girls 👯‍♀️ :
uzuri nnae share nae na ye alimtoa mwenzie
2026-09-25 14:18:13
1
kidoa.03
Kidoa :
wangu alichukuliwa na hakumbuki hata familia ukimpigia anakuliza wewe nina 💔😭
2026-09-25 09:06:40
0
editha.charles3
Editha Charles :
aamke na yeye aniombee nipate wangu 😂
2026-09-24 22:01:09
2
panta.bizzy1
Panta Bizzy :
wanasikia sasa sijui wanakuwaga na kasoro mpaka wamgande mme wa mtu mm niliachaga nasubir mungu anipe wa kwangu
2026-09-24 18:40:15
1
neemanjau56
Neema Daniel njau :
Heeee we dada na uyo mkemwenza aniombee na mmi nipate wangu sio mnatusema ssi tu
2026-09-24 18:49:18
2
rosemedico
Rose Medico :
Da pipy yeye anaamka huo usiku kuniombea Na mm niwe Na furaha n mume wake? Hilo siwez da pipy nishushe ✋🏽😂
2026-09-25 07:37:50
0
To see more videos from user @pipytida.officially, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About