shekhe bado hujatoeleza ya kuipa nguvu hao maruhani
2026-09-24 20:12:16
2
Rahma Tamimu :
eee kama mimi niliambiwa et mume yataniletea yenyewe
2026-09-24 18:38:39
2
user81961930763181 :
sahih yay sheikh. may Allah bless you always amin 🤲🤲❤❤❤❤
2026-09-24 17:54:17
0
Malcolm :
maalim ungepunguza hiyo background kidogo tukusikie vizuri
2026-09-24 19:43:03
2
salmasalumu :
Shekhe hujatuambia tunawape hiyo nguvu mbona mada imebadilika tena
2026-09-25 04:05:55
1
įQĄṚƊỌ ŞỊŁVĘŘ :
asalama.alaikum nipe fikra
2026-09-24 19:23:47
0
MOMIE J CAKE :
Rohani hapandiiiii 📌📌📌
2026-09-26 02:40:19
0
user6518172974993 :
tusaidie ukweli
2026-09-24 18:19:03
0
Lidolido :
ni ukweli sheik utasaidia wengi kama wataelewa
2026-09-25 05:22:00
0
Tiba asilia :
Mbona ujaelekeza dawa ya kuwag nguv ss tuelew vi
2026-09-24 20:39:45
0
kapita :
shekh sharif nakuhitaji sana bali namba yako sina
2026-09-24 19:10:17
0
Latifa Uwesu :
sheikh mimi mkono wangu umevimba bila sababu nimeenda hospital nimetumia dawa lakini bado naomba nisaidie nifanyeje
2026-09-24 18:37:49
1
Hawa Sazi :
kweli waganga wanatupoteza sana.shukrani shekhee nakufatilia sana
2026-09-25 07:30:44
0
Celina❤️ :
mm mume wangu kuna mwamamke amezaa nae akienda uko akija kulala na mm naumwa mwili wote
2026-09-25 07:30:56
0
shuu cute :
samahani kama wamefungwa je inakuwaje na hawajawahi kupanda au wamefungwa unanisaidiane
2026-09-25 14:54:25
0
Middo 45 real :
AMIIN
2026-09-24 20:01:52
1
user1283722063201 aunty Nora :
amina
2026-09-25 12:45:43
0
Shuneya :
Asalamu aleykum warakmatulahi wabarakatuh Shekhe, walai mm nimeteseka sana😢 7 good years najidungwa sindano ya sukari na inasemekana ni Maruhani inaleta shida zote, kazi staki, bwana staki, shule niliacha...naomba usaidizi😭😭😭
2026-09-25 17:02:43
0
Mmaka :
Hujatuambia lkni yale uliyo sema kwamba ni vp utawapa nguvu maruhani wko ili yaweze kukusaidia,,
imeishilia kuwa ponda Tena,, sasa tujueje sisi,
2026-09-24 20:20:58
1
shery zain :
shekh upo sahihi mimi nmetengana na mume wangu alipata mwanamk mwingine anamashetan akawa anaongopewa anamasharifu na ruhan kila nikimwambia haniamin chuki ikawa ndan ugomv kilasiku kadaganywa mambo mengi mno akawa anaamin yule mwanamk alikua anapandisha majin kila aina mume wang ndie anafurah akaona kapat mwanamk mimi sifai mpka aliambiwa wale mashetan wa uyo mwanamke wa mali akamuoa kwa siri miaka sasa mitatu sijaonq mabadiliko yao yoyote wanaangaika tuuu
2026-09-24 20:19:55
1
Fatmoh Moha :
waallah kweli kabisa. marohani Hawa pandi kichwani.
2026-09-25 09:33:23
0
awa phiri :
wallahi.kweli.marohani.awapande.kichani
2026-09-25 12:43:11
1
To see more videos from user @sheikhshariffjangri, please go to the Tikwm
homepage.