me na mume wangu ni mabinam🥰🥰ndoa ni ya kiislam din inaruhus
2026-09-24 22:05:22
118
Poshy🤎Momo❤️🦋 :
Da muuh umependeza sana🥰
2026-09-24 18:22:33
79
🌸HUSNALYON🌸🥷 :
wangapi tunaangalia alhamiss usiku saa 2
2026-09-24 17:44:56
167
🍂𝓝𝓮𝓮🦋🤎 :
Hiii nayo ni laana 💔😳
2026-09-25 09:04:05
46
loven-esscute :
hako kasauti..🙌 Yeah ni kweli lkn tumefanya kama mara 100 hiviii🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-25 07:46:43
44
ÂLWÄTÃÑ MTËTĀ 😛😛🥰🔥🔥 :
binamu na binamu 🥺
2026-09-24 20:22:06
19
Happyness🎀 :
Lakini tumefanya kama mar 100 tuu hiv😂😂😂💔
2026-09-25 04:32:14
19
JayTz Outfits :
nani yupo anaangalia sasaba usiku
2026-09-24 22:12:08
12
🖤It’s Black 🖤❤️❤️ :
Holaaa
2026-09-24 17:52:01
41
kang D :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mwenye nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman🥺🥺
2026-09-26 11:41:16
6
Aiem J🧸❤️ :
Wangap wa ijumaa asubh🥰
2026-09-25 07:18:22
39
zaby mahfudh :
subhanaAllah
2026-09-24 17:37:20
30
꧁ঔৣ☬ it’s maah 🫦✨ ☬ঔৣ꧂ :
naangalia xa sita usku
2026-09-24 21:14:01
40
tynaa🗯 :
nani anaagalia saa 12 asaubhi na free wifi
2026-09-25 03:15:00
25
maryam :
nguo nimeipenda sana 🙏🙏
2026-09-24 17:36:40
10
RehmaJ :
nimependa unavyocheza na sauti... very nice editing...
2026-09-24 18:03:19
16
Shabani kasaku :
safiii sanaaaa wamelaniwa sana atakidin akunajambo kama ilo limekemewa sana
2026-09-25 05:47:46
6
Sammy😻 :
Da muuh ivo vusauti vimenichekesha aki
2026-09-25 05:34:44
7
Ashakareem 💗 :
update ya kesi ya Lindsay clancy
2026-09-24 17:36:59
7
💋𝓢𝓾𝓶𝓮𝔂𝓪𝓱🥀 :
2026-09-24 18:03:43
17
ukhty faydha🎀 :
na wamefanana wenyew
2026-10-03 06:06:51
0
fantanah🫦_TZ :
ila muuh😅nimepend izo saut😂😂😂😂
2026-10-03 09:58:56
1
🦋 mum 🦋 jore 🦋 :
yeah niukweli tume fanya kama mara 100 tu hivi😂😂😂😂
2026-09-30 09:26:22
0
P.r.o.l.i.f.i.c🌴🌴 :
unafanana na dada yangu anaitwa Husna🥰
2026-10-01 07:06:25
2
Fay Collection🛍️ :
ingekua Tanzania wangesema mashariti ya mganga, vp huko Marekani😳😳🙌
2026-09-29 07:42:27
4
To see more videos from user @muu.saleh, please go to the Tikwm
homepage.