@jamiiforums: Dodoma: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete ameyasema hayo Septemba 23, 2026 katika Mkutano wa 14 wa Chama cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA). Ikumbukwe, Wadau kadhaa wa JamiiForums.com wamekuwa wakidai kutolipwa stahiki hizo fedha. Mfano, Julai 3, 2026 Mdau aliandika "Kuchelewa kwa Fedha za Kujikimu Waajiriwa Wapya Ifakara TC". Mwingine Julai 14, 2026 aliandika "Waajiriwa wapya wa Wilaya ya Ileje, tumelipwa fedha kidogo sana za kujikimu kuliko tunachostahili". #JamiiForums #Uwajibikaji #Utawala
JamiiForums
Region: DE
Thursday 24 September 2026 17:44:52 GMT
Music
Download
Comments
Aloyce :
Rizwan Kikwete Rais wa awam ya 7 Rais 2030 to 2040 tunae na tunatamba naye 💪💪💪💪💪
2026-09-25 09:10:01
1
Official-yankee :
hapo umenena japokuw sina uhakika kama mtafanya utelekezaji
2026-09-25 09:17:59
2
flavy flower :
Amina baba
2026-09-25 05:37:38
1
GB’s :
wanakusikia lakini mkuu
2026-09-24 20:09:22
3
@PrintSparkDesign :
kwakwel
2026-09-25 12:15:20
0
Emmatico Petro :
bora wamelisema hilo
2026-09-25 05:55:11
1
FOX🦊 :
hawajanipa hela mpaka Sasa namm sijaanza kazi mpaka waingize🤣🤣🤣
2026-09-25 08:57:16
0
mo ph :
maana yake pesa ya kujikimu si swala la utumishi tena
2026-09-24 19:36:08
3
zeddyboe :
@Dreams & Lifestyles ⚡🏋️🏋️♀️
2026-09-24 19:24:02
0
To see more videos from user @jamiiforums, please go to the Tikwm
homepage.