vi-biology vimerumbanaaaa[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-24 21:26:36
1
𝐒𝐓𝐀𝐑𝐀𝐇𝐔𝐁 𝐙𝐍𝐙𝐁𝐀𝐑 :
Havichelewi
2026-09-24 22:20:40
1
Girl heaven 🦋🌸 :
Ila vibaiology😂😂😂
2026-09-24 18:30:14
10
Jannie❤️ :
😂Nikisikia tuu Neno "HAVICHELEWI MWALI" Naongeza miaka mi3 Ya Kuolewa😭🙌🏼
2026-09-24 21:36:58
6
aysherhussein :
kutoa hela kwajl ya mwanaum nayo siwez asee😅😅😅😅
2026-09-25 15:50:16
1
prettyMeh🦋 :
yeeees
2026-09-24 22:08:20
1
mrs😘💞 A🫴💝 :
habali dada viva mimi naishi na mchumba wangu baba kijacho.....kinacho nisumbua ni yule mwanamke alie kuwaga nae pia anasema anamimba ya mwanaume wangu....kila saaa anapiga cm na kutuma sms niki mblock anabadilisha namba kila siku....mwanaume anasema hamtaki sasa nashindwa kuelewa nifanyaje ili aache kupiga cm na kumtumia picha za mimba
2026-09-25 04:08:52
3
glizy97 :
aaaah avichelewi mko makini hatari nakukaa kote attention kwa Toyota Bado nimekuwa wa 177 watu kipindi mnakiudhiria vyema jamn
2026-09-24 18:35:29
7
Millen Delicious🌸 :
Wakaniibia sim ili nisikusikiliz jmn
2026-09-25 07:55:53
1
momboyz08 :
mara paaa nimewahi 10 member tupo lelele😁😁
2026-09-24 18:25:28
6
Africa beauty 🌹💕 :
wangap mnamalizaga part 1 na hasira😂😂😂
2026-09-25 08:39:48
2
Jareen 💞🥰 :
Havichelewi 💃
2026-09-24 18:23:05
10
Mrs.Chiza❤ :
Me nae nachoka kudate na mtu mzima ovyo limtu nalivumilia lakini halioni faida yangu😏
2026-09-25 06:31:07
1
roseleeh :
ngoja niende YouTube kumalizia uhondo
2026-09-24 21:16:32
1
user4475184429559 :
dada viva nina wifi yang aastesek ba kaka angu mbk namuonea hurum
2026-09-24 20:18:15
1
mamaiya_collection :
havichelewi
2026-09-24 18:41:07
1
israh :
havichelewi
2026-09-25 00:54:36
1
milcah joh🩵💍 :
haya sogeeni huko nikae na mm ndo naingia🤣🤣
2026-09-24 19:30:12
4
Vamilia Maagu :
cheka tu da viva uongeze cku za kuixhi maana ndoa izi zinatupa eka eka ire mbaya mungu atutie tu nguvu wa mama mijengo
2026-09-24 20:34:58
2
🫠🌼 :
hii y leo kali😅💔✋️
2026-09-25 09:06:36
1
marrymasebo731 :
jamaniii 😭
2026-09-24 21:32:57
1
Gifted :
Huyo Dada mfanya Biashara.... Naomba anipe ajira kwenye maduka yake akawe bize na bebi wake mkoani😁😁😁
2026-09-25 07:46:21
1
Isaacibra :
Pata yako ni yake na pata yake ni yake jmn nyie hao innosent ndo hamnaga kitu…….🙌
2026-09-25 03:12:24
1
To see more videos from user @mirrsviva, please go to the Tikwm
homepage.