huu ujumbe nikionag nakosa aman😥 nawaza bila mama yng ntawez kwel Allah niwekee mama ang mpk uzee wako niushuhudie🤲inshallah
2026-09-24 21:50:05
4
Day wa B🦋(♥️ you mama ) :
unaishi tu kwa neema ya Mungu ukiwa mbali nae,hata sis tusiokua nao mwanzo tulikua tunawaza tutaishije bila wao ila Mungu alipo wachukua tumekua tukipitia maumivu ambayo hayaelezeki💔😭ila daima tuna wakumbuka kwa kuwaombea Dua Kila wakat,Mungu awarehemu wa mama wote waliotangulia mbele za haki,na awalinde wamama wote walio hai awape maisha marefu watoto wao wafurahie uwepo wao♥️♥️♥️
2026-09-25 12:01:06
2
💦Cute masa💦 :
Ameen inshallah kwa sote🙏☺️
2026-09-24 21:17:34
1
Mrs Ali🥰 :
yarabii tueke.mama zetu wapee afya njemaaa na miaka marefu yarabii
2026-09-25 05:06:54
2
Mwanaidy Ally :
allah mpe hmri mrefu mama yangu,,,
2026-09-25 12:01:20
1
Irene mwalongo :
nampenda sana naomb mungu mlinde mam yanguu
2026-09-24 18:53:47
3
officially happy :
Daaah nikikaa nikawaza hvy tu nakosa amani sana mungu naomba nilindie mamangu kipenzi mpe maisha marefu na afya njema yy ndo furaha na nguzo kuu ya maisha yangu🫂🧎♀️♥️♥️😘
2026-09-25 06:45:12
0
Jamal Ardhein :
🤲ammin
2026-09-25 18:17:48
0
nurish :
Ameen yarrab
2026-09-25 12:38:40
0
walalo :
Amiin kwetu sote
2026-09-25 18:04:52
0
✨💫✨ :
Amiin
2026-09-25 20:25:23
0
Asha💞 :
Amiin thumma Amiin ❤️🤲
2026-09-25 17:09:29
0
بنت حسين :
2026-09-25 15:55:39
0
cutedida :
Amiin
2026-09-25 19:11:44
0
Baba Akram 🇹🇿 :
Ummy
2026-09-24 21:03:22
0
miss chakaje :
amina
2026-09-25 15:49:59
0
Duka_la_Vyombo :
kwa sababu hio leo kila mtu ampigie simu mamaake amsalimiee🥰
2026-09-25 10:20:37
0
Mariam :
Allahuma amen yarrab 🤲🤲🤲 love you mama 🥰🥰🥰🥰
2026-09-25 22:15:20
0
Bigman bazuu😎 :
Ameen ❤️❤️🙏
2026-09-25 21:47:43
0
🌺Lady🥰bi🌹 :
Amiin inshallah sote
2026-09-25 15:34:33
0
warda :
Amiin
2026-09-25 14:17:23
0
ummurawaan :
😭😭😭naishiwa nayakusema...mama
2026-09-25 14:16:41
0
💝Mrs Ablam💝 :
Amiin
2026-09-25 15:51:26
0
To see more videos from user @honeybee8578, please go to the Tikwm
homepage.