@itssevenkona: mwaka 2003 mwanamama lady jay dee alidondosha hili jiwe lake safi kabisa la kuitwa distance. distance ni wimbo bora sana ambao humo ndani zimetumika lugha zaidi ya tatu kwenye uimbaji huo wa kibunifu wa mkongwe komando jide 🔥🔥

SEVENKONA
SEVENKONA
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 18:52:15 GMT
39930
1873
56
162

Music

Download

Comments

official_jsm1
Miss Carolyn ♥️ :
nilikuwa na miaka 7 mwee!
2026-09-25 16:58:15
3
aloyceandy
aloycejoseph :
Nilikuaa darasa la 2😂🤣
2026-09-25 21:38:46
3
shuhayna.abdallah
Shuhayna Abdallah :
nilikuw dog
2026-09-25 16:14:56
1
aloice.lukuku
Aloice lukuku :
nilikua class 7
2026-09-25 17:53:35
1
user319919322844
#jay#mercy :
millennials mko?
2026-09-26 05:11:42
2
user1957253041498
user1957253041498 :
I like your music for you
2026-09-26 08:45:41
0
user2551116331805
user shania :
ndo nilikuwa naaza shule. sasa😂😂
2026-09-26 11:41:49
1
johari8573
johari :
Nilikuwa na myaka 4
2026-09-26 16:58:20
0
bakariboy
Bakari boy :
Nilikua darasaa l nne 2004
2026-09-26 11:51:48
1
user44530368396856
jeridahobote :
nilikua class 6
2026-09-26 09:09:26
0
cecyrichard160
Cecy Richard :
nilikuwa miaka4 jmni
2026-09-26 08:57:44
0
user7207949940961
Kim :
uwiii ndio nazaliwa🤣🤣🤣
2026-09-26 22:26:18
0
user7237182877816
feda :
hapo nipo darasa la tano
2026-09-26 11:45:07
0
gunupi2005og
Gunupi og💻🖥️🇹🇿 🇹🇿🙏 :
daaah hapo nilikuwa std 5
2026-09-26 12:09:46
0
user5881183812618
user5881183812618 :
habari
2026-09-26 13:11:33
0
johnpopo43
johnpopo :
kitambo
2026-09-25 07:51:25
0
b.z.r.by.used.tyre
B Z R [by USED TYRES] :
Huyu nae alishiliki kutuchelewesha Shuleni Ile saa 12:30! Kupitia Radio RFA
2026-09-26 11:00:15
0
mackpaul09
mack paul :
nipo mgulani primary school mkuu wangu mwalim MJ manoni alinikuta naimba huu wimbo jamani I 💕💕💕 this song
2026-09-26 10:06:32
0
chief.lino
Chief lino 💥 :
moyo wangu🥰
2026-09-29 15:45:53
0
user1781960374063
sady 📷 :
sio 2003....
2026-09-25 21:22:17
0
wema7295
wema :
nilikuwa darasa 5
2026-09-26 08:08:35
0
amisiyusuphmkwama
amisiyusuphmkwama :
Safi sana
2026-09-26 06:24:47
0
marihamlunda
🤍mariham🤍lunda🤍 :
daa unanikumbusha mbari
2026-09-26 08:44:51
0
msbutterfly480
Ms-Butterfly 💕🦋 :
nd kwnz nazaliwa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-25 21:34:44
0
user615812422502
user615812422502 :
Dadaaaaa
2026-09-25 13:33:56
0
To see more videos from user @itssevenkona, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About