kama huu wimbo unaujua hakikisha unaondoka kwenu unaenda kuolewa au kuoa
2026-09-24 20:36:33
2
jescapeter swai :
nokia kitochi
2026-09-24 20:27:05
1
Herman :
kama Yesu tuu hakuna kutoka home
2026-09-30 21:14:30
1
AWESO TWAHA :
Enzi hiyo ilikuwa inaitwa buzz ni bomba
2026-10-01 14:10:52
1
mburaayubu :
duu ila duuu Kwann lakini
2026-09-24 20:33:29
1
Mr.Reee :
Nilikuwa form 4 mzee😂
2026-10-01 11:30:42
1
vctor :
ebwana eeh Duu 2008
2026-09-25 06:44:50
1
kingjatelojr :
huu wimbo nko la tano🤣🤣🤣
2026-10-05 21:46:38
1
Mishelyne Mweta :
jmn hli tangaz limenkumbusha 2008 tulikaa nyumb moj na mama na baba kevi sjui skuhz wapo wapi jmn walikua na changamot enyway tuliish kam ndug miaka ile
2026-10-10 17:36:17
0
James Kotei :
Sasa ukaolewe au ukaowe utoke kwenu miaka imenda 😂😂🙌🏾
2026-09-24 20:29:50
1
To see more videos from user @oldmusicsite, please go to the Tikwm
homepage.