ati nishee kwa marafiki zangu waniuwe[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-24 22:03:49
26
Ñî Çlïñth🇰🇪 :
me going to division to try it😂😂
2026-09-25 16:25:48
1
Mshii :
but lazima pleya awe na acceleration burst
2026-09-25 16:55:40
0
willkid_mc :
io labda ucheze na AI mdo utafaidi ila ukicheza pvp unapoteza mpira kila mala
2026-09-24 23:04:04
13
kapani kulwa :
bro onyesha kwa vitendo bro bad sijakuelewa nimependa nimerudia Zaid ya 5 ila sijaelewa kbs
2026-09-25 07:56:51
5
Cantona 🔨 :
cjakuelewa mkuu unageukaje asa bila kutumia joystick
2026-09-24 21:48:50
2
Honey Gaming💝🇰🇪🎮 :
nani asie ijua sasa na wewe leta user name nikuonyeshe skills zinavyo pigwa 😂😂
2026-09-25 06:48:32
3
zuberisma :
aisee wanangu niko division 2 lakn nayoyaona duu oya wanangu unaingia mechi na mtu ambae labda anakuzidi kikosi 3280 au nakuendelea ukimfunga 2 unashangaa mtandao unalag gafra you lost lakn wakinifung hayatokei
2026-09-26 14:52:59
1
Bøde master 😎 :
nazipiga sana izo
2026-09-24 22:44:46
1
Logic :
Nenda directed punguz stor
2026-09-24 23:27:24
1
Lenny mastori :
Fanya na Fake skills mkuu,
hasa Fake double touch
2026-09-25 00:30:41
1
KEMMY09 :
Team skills tushakuelewa hata kama hujaonesha kwa vitendo
2026-09-25 22:06:01
1
⚡MEDDY GAMER 🎮 ⚡ :
sijakuelewa
2026-09-24 22:42:46
0
Officialkhan😇😇 :
sema ww umeijuwa leo kk 😁😁😁
2026-09-25 06:01:44
1
Elie :
sas mbona skill ya mda mrefu 😂😂
2026-09-26 16:26:41
0
J14K :
mm kioo kibovu kila mda inajipga nkitaka kupga mwenye ndo shida
2026-09-24 23:48:13
1
_.fyp_lino :
Rahisi sana
2026-09-26 12:45:28
0
zuberisma :
kama wanakimbia mbon naandikiwa nimelost alf me kikosi Chang kidog
2026-09-27 07:16:07
0
mukidan jr gmr :
ww ndo ulikua auijuh ilass mda tunaishi nayo
2026-09-26 17:34:08
0
MOKIBA :
Uongo
2026-09-26 17:10:13
0
__nasty :
ni mimi ndo sijaelewa tuu au kuna mwinginee
2026-09-25 19:08:50
1
Ibrahim Omar abdallah :
Nnsjjshhskkshhsnsj jjejsjjjs
2026-09-26 13:26:29
0
To see more videos from user @h1gh1l1ght, please go to the Tikwm
homepage.