@daniel.karume1: Ujumbe wa leo: Usiruhusu hofu ya kesho ikunyang’anye amani ya leo. Mungu yuko pamoja nawe katika kila hatua. Pale nguvu zako zinapokwisha, tegemea nguvu zake. 🙏🏽 Sala ya leo: Bwana, niondolee hofu na unijaze amani. Nipe nguvu ya kukabiliana na kila jambo litakalokuja leo, nikijua kwamba hauko mbali nami. Amina. ❤️ #fyppppppppppppppppppppppp #gosple #tanzaniatiktok #viral #creatorsearchinsights