@mzee.mwenye.media: zamuni Swafaa Lamu maùlidi ya 1987

Mzee Mwenye Media
Mzee Mwenye Media
Open In TikTok:
Region: KE
Thursday 24 September 2026 20:35:38 GMT
7305
434
17
45

Music

Download

Comments

kazi.na.dawa.67
Tupo Site :
wakati huo vijana walikuwa wakifugwa sana
2026-09-25 04:35:02
0
user95930358035
عبد الحكيم بن أحمد :
sikuhizi mbn hamueki tena zamuni..
2026-09-24 20:55:11
1
isi.wa.kuoka
Isi wa kuoka :
Marhum Ali Omar namuona
2026-09-25 02:28:28
1
mahbubyusuf519
Mahbub Yusuf :
mashallah
2026-09-25 13:47:12
0
nobody.knows3102
mohammedaraphat6 :
marehemu Sela wakito swafaa
2026-09-26 16:30:19
0
ummu.muhammad.al.amin786
FADYA MANSOOR 786 :
Zamani ilikuwa hakuna taa lkn kuna Noor ❤️❤️
2026-10-02 20:16:58
0
ibnuomar45
ibnuomar518 :
Waaaah mashallah kitambo sana hata ilikuwa hatupo kabisa
2026-09-25 03:31:05
0
nurubaskut6169
Said Nuru Baskut :
MashaAllah, bado miaka 5 nizaliwe.
2026-09-25 04:29:26
0
user90000518828597
Mohamed manswab :
time zetu hapo tulikuwa nafuraha
2026-09-25 03:03:32
1
abdallahzeinbaabad
Tamula shoe⚓️ :
nyakati hizo watu walikiketi tiati kwenye mabuswati kama waungwana hawaketi kwenye ziti za ufahari💯
2026-09-25 22:42:58
0
isi.wa.kuoka
Isi wa kuoka :
Madrasatu Najah kama cjakosea 🥰🥰🥰
2026-09-25 02:27:35
1
ummu.muhammad.al.amin786
FADYA MANSOOR 786 :
🥰🥰🥰🥰🥰 اللهم اغفر له وارحمه 🤲
2026-10-02 20:12:07
0
To see more videos from user @mzee.mwenye.media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About