@felodesigns: Unaweza kugeuza idea rahisi kuwa poster inayovutia? 🎨 Hivi ndivyo nilivyotengeneza concept yangu ya Nandy Festival 2026 — kutoka mwanzo hadi mwisho. 🔥 Usisahau kunifollow maana yapo mengi utajifunza kuhusu graphics design na kwa huduma, mawazo au msaada wowote kuhusu graphics design, branding na social media marketing usisite kunicheki🇹🇿🙏 #design #graphicdesign #fyp #nandyfestival2026 #tiktok