@emmanuely136: #fashion #trending #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniatiktok #fppppppppppppppppppp

EMMANUEL 💥
EMMANUEL 💥
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 21:00:52 GMT
38923
6262
334
753

Music

Download

Comments

alice.azzy78
roycethe girl🙏🙏🙏 :
kwani kaka nyimbo za AI zinakuaje
2026-09-25 13:59:07
6
romar_news
Nobody :
watu mjitahidi kufatilia hizi Chanel YouTube mtajifunza mengi kupitia shuhuda za watu 🔥PROMOVER TV 🔥DAVISTAR MATA MEDIA 🔥MERCY NDARU 🔥LIFE IS SPIRITUAL etc
2026-09-25 01:02:32
29
happylizzy1
happy@ :
Nyimbo nyingi za Joel Lwaga naonaga Kama hazina uwepo msinipopoe nina mafua🙏
2026-09-25 08:33:13
86
zirukaagnes2
AGNES ZIRUKA :
mungu nifunguwe macho nione baba
2026-09-25 05:02:38
12
user4022316357687
RKD :
ndo maaana nasikiliza za RC n'a sabato tu
2026-09-25 06:54:55
12
de.unique18
G. Tibaijuka 🎤❣️ :
ee Yesu Linda moyo wangu na masikio yangu
2026-09-25 07:21:48
45
ericahjanet344
ericahjanet344 :
Ai imekuja kuharibu nyimbo za kweli kueni makini, fungukeni macho na mungu WA Amani atusaidie
2026-09-28 03:57:34
10
user47080210320363
Queen mugoli :
Mungu asipo linda muji waulindao wafanya kazi bure 😔😔😔
2026-09-25 07:04:57
27
felchismikimario8
Fransiscah 🇹🇿 :
yaan me nashindwa hata cha kufanya jamani Mungu naomba neema yako tu me sijui nifanyeje tuhurumie Mungu tunaomba roho wako basi tusiangamie
2026-10-05 21:34:25
2
user5279687519582
abbysophy 97 :
Yesu hatakiwi kuonewa aibu anatakiwa kutajwa hadharani kwann nyimbo za joel huwa hamtaji Yesu?
2026-09-25 12:36:17
12
asnathdonald
mama ibra :
Mungu atuongoze peke yetu hatuwezi[Crying]
2026-09-25 08:07:21
21
user5402568186300
Neema john :
jamani tutajuaje kama wimbo sio sahihi ila Mimi jaman nyimbo za Joel huwa zinanibariki nakunipa nguvu japo mnasema Joel Hana uwepo
2026-10-11 08:26:00
0
treshawn34
Treshawn.⚾️🧢🛍 :
amen 🙏 🙏 god bless u
2026-09-25 06:05:26
3
davthebest.1
DavTheBest :
HAKIKA NAKUAMINI 🙌🏾🙌🏾 Huwa naskiza nyumba za injili lkn baadhi ya njimbo sipati uwepo pia naskia kuchukizwa napoziskia moyoni Haki nimezifuta Nimepata amani!!!
2026-09-25 05:14:16
7
paulin706
Paulin706 :
Ni Bahat sana kusikia huu ujumbe .Mungu akubariki sana.
2026-09-27 07:46:18
7
jacksonzmganga
Jackson z Mganga :
kabisa Mungu akubariki kaka
2026-09-24 22:13:03
7
harby.jackson
Harby Jackson :
Tuko kwenye hatari YESU CHRISTO Atasaidiye Naatuongeze nguvu
2026-09-24 22:48:53
6
jumakengo390
kaimi kyalo :
amen amen
2026-09-26 19:28:46
1
jacobnyattam
jeff :
kijana umefanya vizuri umebadilika kutoka kuwashambulia wale Kina dada SI umejua Sasa Mungu ni upendo sisi ni wanadamu saingine twakosea lakini ni vizuri unatangaza injili siku hizi.great.
2026-09-27 13:53:40
3
johnzacharia188
johnzacharia188 :
MUNGU tupe macho ya kiroho
2026-09-28 12:18:55
1
ngobeikisongoingo
Ngobei kisongoi Ngobei KiSongo :
mungu atusaidie maan Kila kitu ni mtego sijui tufanyaje sasa
2026-09-25 09:53:24
4
michaeldamin621
Michael Damiano :
ndoman mm ninapendag nyimb za kuabudu
2026-09-26 13:47:09
2
user5222820770448
userZRJ :
Eemung tupe macho ya kiroho namasikio ya kiroho tutambue nyimbo zako mung Wang hili niombi lang kwaajili yakila mtu Amina 🙏🙏
2026-09-25 04:26:51
2
jumannemarwa7
J4mMhr :
je ushajiuliza yeye anatoa wapi hizo taarifa
2026-09-25 06:56:09
3
mackie978
Mackie :
Mm kuna mtu sitamtaja lakini sipendi nyimbo zake tena akome kutuletea mpya
2026-09-26 08:23:18
4
To see more videos from user @emmanuely136, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About