@graced.girl: Kama Yesu alisema shetani ni “baba wa uongo” (Yohana 8:44), kwa nini tuamini kila kitu kinachosemwa na mapepo? Mapepo yanaweza kusema mambo yanayoweza kusikika kama ukweli, lakini hiyo haimaanishi kwamba tunapaswa kuyaamini au kuyapa nafasi ya kutufundisha. Yesu alipokutana na pepo, aliwaamuru: “Nyamaza! Mtoke huyu.” Marko 1:25 Pepo si chanzo cha ukweli. Kristo ndiye ukweli. Swali ni: Kwa nini tunataka kusikia pepo anasema nini? 👀#fyp #viralvideo #fypシ #fypシ゚viral #creatorsearchinsights
If you don’t know the root cause of your problem how can you solve it??? Mind you when a demon is in the presence of God can never lie . Cha muhimu ni kuwa na Spirit of discernment. Ni muhimu sana sana kuyauliza ili tujifunze kwa kina. The main things in Christianity is revelation. Bila revelation tutabaki pale pale no growth.
2026-09-25 07:26:32
4
Mbasha_one_tanzania :
Maisha yamebadilika mapepo nayo yana haki ya kujieleza
2026-09-25 09:35:03
64
rhabdomyolysis :
why bibble as point of reference?
2026-09-25 07:15:48
0
love❤️❤️❤️ :
amina sana umenena mwaya
2026-09-25 14:56:37
0
muhindi :
Word of thought 🤔
2026-09-25 15:25:55
0
SON OF MAMA ONE. J_KIMARIO🇹🇿 :
Ile inafanywa tu kama sehemu ya Ushuhuda kwa wengine wenye imani haba ili wapate kuamini na kufahamu vinavyoendelea katika ulimwengu wa Roho, Na si watumishi wote wenye hiyo Neema ya Kuzi command Pepo na Zika apia na kujieleza, Ni Mtu Mwenye High Anointing. In short mtu mwenye pepo ni sawa na Jambazi sugu mwenye Infomations Nyingi, ambaye Akikamatwa na polise hata abanwe vipi hawezi toa siri, yuko radhi hata afe, ila wengine wakikutana na Utaalamu wa ubananisho wa Polise, anajikuta anasema tu chapu. huu ni mfano nimetumia, ndivyo alivyo mtu mwenye Pepo, si rahisi atoe siri za ufalme wa Giza, mpka atakapokutana na Moto. Mfano mdogo tunamwona Mtumishi wa Mungu, mkubwa, Tb Joshua. wakati akiwa anaomba Ni lazima pepo zilizoko kwa watu ziinuke, naye alikuwa akihojiana nazo. Nenda katazame🙏🏻
2026-09-25 05:25:47
12
Nyokalongo :
Haina ubaya kuhoji maswali inasaidia vitu vingi sana
1. kama kuna vitu au maagano kati ya pepo na huyo mtu yatasema
2. itasaidia kujua mbinu wanazotumia mapepo kumuingia mtu maana huwa wanasema chanzo ni nini
kuhusu shetan ni baba wa uongo ni kweli lakin ukiwa kwenye kukemea huwa hawadanganyi kwa sababu pale ni moto unawaunguza na pia wanakuwa chini ya mamlaka
ndo maana hata Yesu alipokuwa anapita mapepo yalimtambua na yakakiri dhahiri kwamba wewe ni mwana wa Mungu hayakudanganya
yaan hakuna mahali mapepo yalimdanganya Yesu
nakubaliana na wewe kwamba yanaweza kusema ndg yako ndo amekuloga ila kwa situation ya kukemea mara chache sana yanasema uongo
2026-09-25 07:01:45
12
prisc44 :
very true
2026-09-25 16:49:00
0
DOTTOCARE :
correctly dada
2026-09-25 14:02:15
0
SirBarakaℹ :
Hiyo mara moja ya YESU kuuliza pepo hata wachungaji wako sawa kuuliza
2026-09-25 05:16:39
7
Jimmy :
Kwani pepo anaweza kudanganya mbele ya Roho mtakatifu akiwa anaadhibiwa(kwenye mateso??)
2026-09-25 06:05:34
10
David J. Marwa :
utajuwaje siri za shetani wanafanyaje na kama lipo bado au kaondoka, lazima tujue kinachoendelea akidanganya tunajua tunapiga fireeèèe 🔥
2026-09-25 10:31:47
7
essaumwakasege :
umeongea kitu Cha maana sana. mara nyingi tunapenda show off na kuonesha tunazo nguvu za kutoa pepo.
ila kwanza ni taharuki tunaleta
pili tunaweza tengeneza mazingira ya kuharibu Zaid maana uongo atakaosema Kuna wanaoweza uamini na ikaharib taswira ya mtu flani.
2026-09-25 05:28:17
6
am14578 :
uko sahihi
usimpe ibilisi nafasi
2026-09-25 05:58:35
10
mgalatia :
lips mh!
2026-09-25 08:03:23
0
Ahmed Abdul aziz :
kanisani maigizo tu
2026-09-25 06:58:07
0
apostle Ezra's ministries :
the same bible umesema pamoja no roho tunaitaji roho yakupambanua sister in the lord
2026-09-25 11:35:19
0
August_16_sixteen :
yesu kaandikwa na waandishi wengi Sana, hivyo vitabu vya biblia vimekuwa selected tu! ndio maana wayahudi waliamini vitabu vya Mussa Tu! yesu alifanya mengi mazuri na mabaya, so Marko hawez kukupa story nzuri ya yesu mana hakuwa karibu kama yacobo, petro na yohana
2026-09-25 19:59:56
0
apostle Ezra's ministries :
Kuna mapepo lazima yaongee na mengine sio lazima Kwa maana anaefukuza mapepo anatakiwa kua na spirit of discernment
2026-09-25 10:39:14
0
Sampaul :
upo sahihi lkn twende taratibu.. Yesu hakutaka kufunuliwa watuwasije wakamjua kwa sababu alikuwa na mission na alikuwa hajaimaliza. Mim nimeshafanya huduma hii ya maombezi.
1. Biblia inasema nasi hatukosi kuzijua zile hila a mwovu. moja ya mbinu ya kutatua tatzoni kujua chanzo. unapomwombea mtu akalipuka pepo ili uweze kusaidia tatizo lisijirudie ni pamoja na kujua chanzo na sababu kwanini amemwingia mtu. ndio njia rahisi ya kudeal navyo.
2. kuambiwa shangazi ni mchawi. Kwasisi tulio okoka Vita vyetu si juu ya damu na nyama. yan unashughulika nae huko huko.huwezi kumchukia mtu kwa sababu ya vita ya rohoni. emagine Paulo/sauli aliuwa watakatifu wangapi. ilifika hatua watakatifu wakamwogopa lkn MUNGU Alikuwa na kazi naye. kuna wachungaji walikuwa ni wachawi enzi za utuwa wao
2026-09-25 10:44:21
3
JuniorWiseProphet :
Shida mnaelezea msivyo na uwezo navyo , mapepo yakiwa chini ya mamlaka kubwa husema ukweli maana hawasemi kwa kutaka bali kwa amri , nikma jambazi akibanwa selo anavyosema yoote ndio kama mapepo, ila ukiona mtumishi kunavitu anaachia aseme na ni uchonganishi jua huyu mtumishi ufaham ni mdogo na anataka kuaminika kinguvu.
2026-09-25 20:40:28
4
master spenser :
dada naona kama naanza kukuelewa hv[Fire][Fire][Fire]
2026-09-25 07:27:19
0
fey ima jr :
Unakuta anapiga nayo story. Zaidi ni zile maigizo ili kuaminisha wengine. Ila kiukweli pepo unalifurumusha kimya na lisirudi
2026-09-25 09:40:51
0
The Bible Lens :
Nikufolo sasa
2026-09-25 06:12:54
0
Tito Elias :
Hapana mdg wangu yesu hakutaka yaseme kwa sabab yasije yakatoa code kua ni mwana wa mungu,, kwa sabab hakutaka
2026-09-25 07:32:26
1
To see more videos from user @graced.girl, please go to the Tikwm
homepage.